shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,445
- 2,344
Kila kitu kina timing Rais wetu husema ni raisi wa wanyonge na wanaoonewa. Sasa huoni huyu ndie mtu stahiki kueka Sawa history pale ambapo inaonekana km haiposawa
Sasa unyonge na research ya mohamed said vinahusianaje?