Hivi Serikali ,CCM hawajawahi kusoma vitabu vya Mohamedi Saidi?

Bmo

Member
Apr 13, 2019
15
45
Kusoma kitabu cio akili unaweza soma bado huna mtazamo,,serikali ipo makin ndio majamaa yana haha upinzani, sërikal ipo njia sahihi
 

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
1,917
2,000
Mara mnyonge ndio hudhulumiwa aghalabu Kwa mwenyenguvu
Kwa hyo mohamed kadhulumiwa research yake?
Unadhani humu jf ndo proper platform ya kumsaidia mohamed?
Kama anaona anadhulumiwa na wenye nguvu, sheria zipo afungue mashitaka dhidi ya wenye nguvu.
 

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,380
2,000
Je katika historia ulioisoma Kuhusu TANU hakuna chochote kipya chaezwa kuingizwa katika historia yetu kama wewe ni mkweli?
Mkuu hao watakubangua kichwa achana nao tu .. ukiona watu kitabu chao kimehaririwa... ikiwa Mungu wao alishikana mieleka na Yakobo na akashindwa. . Ikiwa maandiko yao na wayafutayo hawayajui bali wakichokaririshwa itakuwaje historia ya nchi yetu?
 

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,380
2,000
Issue kubwa kama wakulima wa korosho kutolipwa? Issue kubwa mauti za coco beach? Issue kubwa kuzuiwa mikutano ya vyama vingine huku fisiemu ikifanya? Issue kubwa uchumi kwenda mrama? Issue kubwa wakosoaji sera mbovu kutishiwa maisha? Kutekwa ama kupigwa risasi? Issue kubwa......?
Vitabu vyake nonsense vinaongelea watu badala ya issues.Small mind discuss people great mind discuss issues.
 

Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
29,111
2,000
shida ni approach ya udini anayotumia mzee mohamed said ktk machapisho yake.


HEBU TUAMBIE HUYU PADRI ALIYEKAMATWA NA BUNDUKI mwisho wake ulikuwa upi ??

Hivi Tembo wanauwawa kwa AK 47??

Angalikamatwa Imam wa msikiti na hizi bunduki , Jee tungaliambiwa naye ni Jangili ??? Maana serikali ya CCM imezoea kuwabambikia waislamu nembo ya UGAIDI


PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI ..

.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.

1137268
 

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,868
2,000
Mohamed Said ni shujaa

Shujaa wa nani labda wewe na wanao..
Hajawahi kutambuliwa popote pale kwann tupoteze muda kwa umbea wake..maji, viwanda nk ndio mambo ya msingi.

Kama mnampenda sana mwekeni kwenye majumba yenu mumuabudu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom