Hivi seriakli imehalalisha madanguro hapa nchini?

Kichapo13

Member
Jan 27, 2013
75
30
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipita katika baadhi ya maeneo, na kukuta wanawake wanaouza miili yao katika vyumba vyao. Biashara hii maarufu imeanza siku nyingi, na hakuna jitihada zozote zinazofanywa kuiondoa. Kabila la Wahaya linahusishwa na biashara hii kwasababu wanawake wengi wanaojiuza wanafahamika kwa kabila hilo. Hebu tujadili, serikali imehalalisha biashara hii? Kama sivyo, mapambano dhidi ya Ukimwi yana faida gani?
 

Attachments

  • Dang.png
    Dang.png
    78.6 KB · Views: 254
Wahalalishe wasihalalishe, watu wataendelea kumegana tu.

Zamani (late 80s - mid 90s) nakumbuka pande za Msasani, maeneo ya nyuma ya Namanga kulikuwa na madanguro bubu kibao.

Machizi kibao walikuwa wanaenda kujiponea huko kila wikendi.
 
tandika,buguruni,manzese na hata hapo mnazi mmoja karibu na soko la kisutu kulikuwa na hao dada zetu wa kihaya,wao staili yao ni kuuzia vyumbani
 
Kama wameshindwa kuyadhibiti, basi wakusanye kodi kwa kila kichwa manaake watoto wanalipaa, na huyo alokaa hapo chini mwambie asimame tumwone vzuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom