Hivi Salama Jabir mziki anaufahamia wapi?

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
mbona napata wasiwasi na jaji wa bongo star Salama, yeye kila msanii anamponda, kila msanii anaeperform hata kama majaji wengine kama Master J wamsifie yeye lazima amvunje moyo!!!!
Kwa nini?
Mimi binafsi namshangaa san.
 
usimshangae ndugu,ndio kazi yake na ndio kitengo chake..madam rita huwa sometime anamsafirisha toka uingereza alipo sku izi,sababu anakosa mbadala wake,na analamba pesa ndefu kwa uo ukauzu wake
 
Yaani watz wana matatizo sana, hupenda wasifiwe tu halafu ndiyo wanajiona kama wamefika. Mfano mdogo tu ni yule munayemwita Hemedi ambaye mulimsifu na akajiona yeye ndiyo Schwazenneger wa tz. Alipoambiwa ukweli akaanza kutukana.

Jaribuni kuchukuwa criticisms kama ni jambo la kawaida na ulifanyie kazi ili kuongeza ubora wa kazi zako.
 
Alijifundishia kwao Pemba. Katika Band inayoitwa KIBAKORA JAZZ.
 
Mbona madam rita anaposifia kila mtu hata wasiofaa kusifiwa watu hamsemi?!
 
salama ni mwanadada shupavu sana anaweza kufanya wabongo wengi wanachoshindwa,kumkosoa mtu bila kulemba maneno,japo mda mwingine anapitiliza..nakumbuka akiwa planet bongo alisaidia sana kunyanyua ubora wa video za wasanii wa bongo kwa kuzikosoa,wengi waliimprove viwango vya video kukwepa domo lake
 
mbona napata wasiwasi na jaji wa bongo star Salama, yeye kila msanii anamponda, kila msanii anaeperform hata kama majaji wengine kama Master J wamsifie yeye lazima amvunje moyo!!!!<br />
Kwa nini?<br />
Mimi binafsi namshangaa san.
<br />
<br />
acha kuangalia vipindi mfu
 
Tufike mahali tukubaliane kwamba Salama anabeba kipindi cha BSS kwani kila mshiriki anajitahidi kufanya vizuri awezavyo ili kukwepa mipasho ya Salama, wakisifiwa tu hawatakaza buti, tunataka mtu akiitwa mshindi awe amepita vikwazo ili awe mshindi wa ukweli, ili iwe hivyo Salama ndio kitengo chake kukosoa!!
 
Waböngo tunauogopa sana ukwel. Tujifunze kusema, ukwel unakuweka huru, mchukie sana mtu anayekusifia uongo. Huyu ni mchawi. Salama anakueleza ukwel ili ujitahd zaid.
 
Yaani watz wana matatizo sana, hupenda wasifiwe tu halafu ndiyo wanajiona kama wamefika. Mfano mdogo tu ni yule munayemwita Hemedi ambaye mulimsifu na akajiona yeye ndiyo Schwazenneger wa tz. Alipoambiwa ukweli akaanza kutukana.

Jaribuni kuchukuwa criticisms kama ni jambo la kawaida na ulifanyie kazi ili kuongeza ubora wa kazi zako.
yake imezidi
 
Tufike mahali tukubaliane kwamba Salama anabeba kipindi cha BSS kwani kila mshiriki anajitahidi kufanya vizuri awezavyo ili kukwepa mipasho ya Salama, wakisifiwa tu hawatakaza buti, tunataka mtu akiitwa mshindi awe amepita vikwazo ili awe mshindi wa ukweli, ili iwe hivyo Salama ndio kitengo chake kukosoa!!
umesomeka
 
Binafsi Salama namfagilia sana,,kwa mtu anayeelewa huyu dada hua haongopi, ni kwamba anasema kile anachokiona kwa manufaa ya mlengwa,, ni shupavu saaaaaaaaaana,,big up Salama endelea wala usisikilize maneno ya watu sie tunatambua unachokifanya!
 
Back
Top Bottom