Hivi salaam za mwaka mpya za Kikwete zililenga nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi salaam za mwaka mpya za Kikwete zililenga nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makindi N, Jan 13, 2011.

 1. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Petrol/Diesel bei juu, umeme (18%) increase - bili ilivyopanda kana kwamba unakiwanda cha kufufua umeme hapo kwako, kodi nyumba juu (nimepandishiwa), mchele kilo kana kwamba unanunua jaruba, school fees nazo kana kwamba unanunua shule, soda nazo mia mia zimeongezeka. Yaani kifupi kwa njia moja au nyingine vitu vimepanda sana kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya uchaguzi. This 2011 is a heavy one fellas! Zile Salaam za Mwaka mpya za JAKAYA KIKWETE (PhD-less) zililenga nini?
   
Loading...