Hivi Robert Kisena ni nani?

Wote wawili hao ni wasukuma (wanyantuzu) na wanatoka sehemu moja huko Bariadi kijiji cha Gambasingu

ktk fani ya utapeli wote wana Phd zilizosimama kama kaptura ya polisi wa kijerumani
Hahaaa, eti kaptura la Kijerumani.
Ila Ndugu zangu Wanyantuzu wana vichwa balaa na huwezi kuwaona mara kwa mara kwenye Tv.

Chenge, Cheyo, Kisena, Peter Noni nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
Kiasili ni Mnya Rwanda
 
HAHAHAHA JF KWA UONGO DAH
Amna siyo uongo Ni afisa wa jeshi la polisi ambaye alikuwa OCD wa wilaya ya maswa ni George ndunguru na ndiye aliyekatwa mtama na baada ya tukio Hilo ilibidi wamnyanganye madaraka na kukaa chini ya uangalizi wa kamanda wa mkoa shinyanga jeshi lilikaa likaona nifedheha kubwa kwa kiongozi Kama huyo kufanyiwa hayo mbele ya hadhara kimsingi huyo mzee alikuwa amelewa alienda kwenye mkutano wa siasa akiwa tayar ameshapiga vitu nasikia alikuwa anapenda shingo ndefu bia isingempita machoni kwa Sasa NI marehemu mola ailaze roho yake mahali pema peponi amna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hakumpiga mtama OCD ila katika purukushani alikamatwa na alikala ndani. Nilikuwepo pale Maswa muda wote wa pilika pila zile za uchaguzi zilizopelekea kifo cha dereva mmoja huku Shibuda wa CHADEMA akiibuka mshindi, ushindi ambao ulipatikana baada ya wananchi kusimama imara katika kulinda kura.
Unabisha sio?soma hapa chini:

Katika hatua nyingine, mgombea huyo wa CCM alifika kituo cha polisi na kusababisha sokomoko baada ya kumshambulia kwa mateke na kumuangusha chini mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya Maswa (OCD), Peter Ndunguru akimtuhumu kuwa wamemwachia Shibuda.

Akizungumza kwa njia ya simu, OCD Ndunguru alisema mgombea huyo wa CCM aliambatana na viongozi wa chama hicho na kuuliza alipo Shibuda, na walipojibiwa kuwa yupo rumande mgombea huyo alimrukia OCD huyo na kuanza kumshambulia kwa mateke kiasi cha kumuangusha chini.Alinirukia na kunipiga, alieleza OCD.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga amethibitisha tukio hilo, akisema kuwa kulitokea kutokuelewana kati ya afisa wake na mgombea huyo, lakini akadai kuwa hilo ni jambo binafsi ambalo analiacha mikononi mwa OCD mwenyewe.

Suala la Kisena na OCD ni jambo la kawaida kiutendaji na wala siwezi kulizungumzia ... kwa sasa hapa ninashughulika na suala zito la mauaji," alisema kamanda huyo wa Shinyanga.

"Suala hilo lilitokana na kutoelewana kati yao...
kama OCD anaweza kumfungulia mashitaka ni yeye lakini sisi hatuna haja naye. Lakini nadhani tutawashauri wayamalize kwa kuwa ni ya kawaida kiutendaji.

Source;Gazeti la Mwananchi
 
HAHAHAHA JF KWA UONGO DAH
Uongo eeh?fanya kama unajikuna hivi:

Katika hatua nyingine, mgombea huyo wa CCM alifika kituo cha polisi na kusababisha sokomoko baada ya kumshambulia kwa mateke na kumuangusha chini mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya Maswa (OCD), Peter Ndunguru akimtuhumu kuwa wamemwachia Shibuda.

Akizungumza kwa njia ya simu, OCD Ndunguru alisema mgombea huyo wa CCM aliambatana na viongozi wa chama hicho na kuuliza alipo Shibuda, na walipojibiwa kuwa yupo rumande mgombea huyo alimrukia OCD huyo na kuanza kumshambulia kwa mateke kiasi cha kumuangusha chini.Alinirukia na kunipiga,alieleza OCD.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga amethibitisha tukio hilo, akisema kuwa kulitokea kutokuelewana kati ya afisa wake na mgombea huyo, lakini akadai kuwa hilo ni jambo binafsi ambalo analiacha mikononi mwa OCD mwenyewe.

Suala la Kisena na OCD ni jambo la kawaida kiutendaji na wala siwezi kulizungumzia ... kwa sasa hapa ninashughulika na suala zito la mauaji," alisema kamanda huyo wa Shinyanga.
"Suala hilo lilitokana na kutoelewana kati yao...
kama OCD anaweza kumfungulia mashitaka ni yeye lakini sisi hatuna haja naye. Lakini nadhani tutawashauri wayamalize kwa kuwa ni ya kawaida kiutendaji.

Source;Gazeti la Mwananchi
 
Unabisha sio?soma hapa chini:

Katika hatua nyingine, mgombea huyo wa CCM alifika kituo cha polisi na kusababisha sokomoko baada ya kumshambulia kwa mateke na kumuangusha chini mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya Maswa (OCD), Peter Ndunguru akimtuhumu kuwa wamemwachia Shibuda.

Akizungumza kwa njia ya simu, OCD Ndunguru alisema mgombea huyo wa CCM aliambatana na viongozi wa chama hicho na kuuliza alipo Shibuda, na walipojibiwa kuwa yupo rumande mgombea huyo alimrukia OCD huyo na kuanza kumshambulia kwa mateke kiasi cha kumuangusha chini.Alinirukia na kunipiga, alieleza OCD.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga amethibitisha tukio hilo, akisema kuwa kulitokea kutokuelewana kati ya afisa wake na mgombea huyo, lakini akadai kuwa hilo ni jambo binafsi ambalo analiacha mikononi mwa OCD mwenyewe.

Suala la Kisena na OCD ni jambo la kawaida kiutendaji na wala siwezi kulizungumzia ... kwa sasa hapa ninashughulika na suala zito la mauaji," alisema kamanda huyo wa Shinyanga.

"Suala hilo lilitokana na kutoelewana kati yao...
kama OCD anaweza kumfungulia mashitaka ni yeye lakini sisi hatuna haja naye. Lakini nadhani tutawashauri wayamalize kwa kuwa ni ya kawaida kiutendaji.

Source;Gazeti la Mwananchi
Hiyo ni habari mkuu, mimi nilikuwepo na nilishuhudia kila kitu. Kisena alilala ndani. Kuna mengi yaliandikwa kipindi kile lakini hayakuwa na ukweli. Hata Kamanda wa Polisi wa mkoa walim mis quote kipindi kile.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu,kwamba kisena hakumpiga OCD na RPC alikua miss-quoted?

Unajua baada ya hilo saga huyo OCD alifanywaje?
 
kasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
Lilisumbua sana hapo shuleni kuanzia utukutu mpaka uwezo darasani
 
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanao mjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,

Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Nimtu moja poa sana aisee anapenda sana kusaidia watu na mwepesi wakutoa hata kama hufahamiani naye atakusikiliza tu.Kwakweli mimi kama mimi siwezi kumsema vibaya.nijirani yangu .
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom