Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,206
- 33,223
Miaka ile ya nyuma,vyama vya ushirika huko shinyanga ,mwanza etc vikafilisika ,sasa yale maginery yakabaki kama mapambo kwani hawakuwa na uwezo wa kuyaendesha,so vyama vya ushirika vikaanza kukodisha maginery kwa wafanyabiashara wanaoweza kuendesha kwa mkataba wa msimu ,etc.
Vijana watafutaji wa kisukuma wakawa wanaungana na kuunganisha mitaji na kukodi ginery,kisha wananunua pamba kwa pamoja na kulisha kwenye maginery na kupata marobota ya pamba ambayo waliuza na kujipatia mamilioni ya dola,huo ndo mwanzo wa SIMON AGENCY nijuavyo mimi