Hivi Robert Kisena ni nani?

Miaka ile ya nyuma,vyama vya ushirika huko shinyanga ,mwanza etc vikafilisika ,sasa yale maginery yakabaki kama mapambo kwani hawakuwa na uwezo wa kuyaendesha,so vyama vya ushirika vikaanza kukodisha maginery kwa wafanyabiashara wanaoweza kuendesha kwa mkataba wa msimu ,etc.
Vijana watafutaji wa kisukuma wakawa wanaungana na kuunganisha mitaji na kukodi ginery,kisha wananunua pamba kwa pamoja na kulisha kwenye maginery na kupata marobota ya pamba ambayo waliuza na kujipatia mamilioni ya dola,huo ndo mwanzo wa SIMON AGENCY nijuavyo mimi
 
Kipindi hicho biashara ya pamba,pamoja na mafuta ya pamba,na pia mashudu ilikuwa ni biashara yenye faida mno,hivyo ndivyo hawa kina kisena walivyonyanyuka,actually matajiri wengi wakubwa kanda ya ziwa utajiri wao asili yake ni pamba kabla hawajadivesify kufanya mambo mengine,wengine walikuza mitaji na kununua maginery yao wenyewe na hivyo kuwa na viwanda vyao wenyewe,hivyo ndivyo SIMON AGENCY ilienda inakuwa na kujulikana kama SIMON GROUP
 
kisena.jpg
 
Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.

Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.

Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.

Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.

Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.

Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Kajamaa kana umur gan haka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
 
Kumbe na akili ya shule pia anayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia katika harakati za uchaguzi mkuu wa 2010 huyu jamaa alimchapa vibao OCD wa Maswa na ajabu RPC badala ya kutoa maamuzi ya jamaa kushtakiwa alishauri ti hilo ni jambo dogo waelewane tuu.
Alikuwa na kajeuri kama ka Makonda vile, ndio style ya CCM inapowalewa vijana wake
Duh hatari
 
Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.

Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.

Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.

Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.

Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.

Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
sawa lakini kumbuka walifanya haya wakiwa wana CCM tena makada watiifu na bado wanachama hai wa chama letu CCM; sijasikia katibu mkuu akiwafukiza wale wote wenye tuhuma kama hizi.. wanajuana hawa!!
 
Aliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hakumpiga mtama OCD ila katika purukushani alikamatwa na alikala ndani. Nilikuwepo pale Maswa muda wote wa pilika pila zile za uchaguzi zilizopelekea kifo cha dereva mmoja huku Shibuda wa CHADEMA akiibuka mshindi, ushindi ambao ulipatikana baada ya wananchi kusimama imara katika kulinda kura.
 
Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.

Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.

Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.

Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.

Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.

Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Huyu bwana ni tapeli hasa. Maana hata mizizi yake ilianzia kuwatapeli waganda waliokuwa wakifanya biashara na Nyanza kwenye zile Gineries.. Hata zile godown za mafuta pale Mwanza south alifanya utapeli wa mapenzi ndiyo akazipata.

Na huu utapeli wa kuwatapeli kina mama wenye hela (wafanyakazi, wafanyabiashara, wajane n.k) umeshamiri sana. Nilipata kuwa na urafiki na bwana mmoja na kufanikiwa kujua michezo yao, ndugu yangu unaweza lia. Watu wanafirisika.

All in all kisena ni 'mpigaji'..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom