Hivi Robert Kisena ni nani?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanaomjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake.

Kwenye kesi dhidi ya Idd Simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa.
 
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanao mjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,

Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Ni msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingine
 
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanao mjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,

Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Among the top wa JK family deal makers. Hao walikua ndiyo economic backbone (Chuma ulete) wa JK Family.
 
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena

Wanao mjua hebu tudadavulie

Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,

Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Kwny hio kesi ya kina Idd Simba dhamana ilitakiwa bil 2,yeye Simba akaweka nyumba yenye thamani bil 7 akawatoa na wenzake wote ndani,yajayo yanafurahisha uko tayari?
 
Kisena

1. Mkwapuaji wa UDA
2. Amekwapua tenda ya maxcom kusimamia tiketi za mwendo kasi hadi amesababisha ticket ziwe zinachanywa kama daladala.

3. Mshika mikoba ya JK kama alivyo bashite kwa jiwe

4. Anajua kucheza na serikali unaweza sema serikali kaiweka mfukoni.

5. Bepari la kisukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafnyakazi wa mwendo kasi hawajalipwa mshahara zaidi ya miezi 6, hela zote anakwapua kweupe serikali inamuangalia( wengi wana njaa) , waziri anamuangalia (ana wake wanne, njaa tupu) , kwa hiyo ukichanganya na usukuma kesho yuko nje
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom