Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Wote tunatambua kuwa zilliundwa kamati mbili tofauti moja ikiongozwa na Prof.Mruma na nyingine ikiongozwa na Prof.Ossoro zote zikuhusiana na swala zima la makinikia na kila kamati ikaja na taarifa yake ambayo iliyopelekea wajumbe wa kamati husika kupewa nishani kwa kazi nzuri na ya kutukuka walioifanya.
Swali langu ni je, full reports za uchunguzi zimewahi kutolewa kwa umma(walipa kodi )?
Hata soft copy zipo?
Na kama haziwahi kutolewa ni kwanini?
Waheshimiwa wabunge nyinyi kama wawakilishi wetu, muulizeni waziri mkuu Bungeni ni kwanini ripoti hizi watanzania hatupatiwi hata kwa kutuuuzia.
Natumai Lissu akirudi Bungeni atahoji jambo hili wengine wote tumeshasau.