Hivi Rayvanny ana mpango gani na label yake ya NEXT LEVEL MUSIC (NLM)?

Kuna wapuuzi humu hawajawahi hata kuwa waajiliwa afu wakawa na side businesses ambazo wanazisimamia full... Ndo maana utasikia wakipiga domo kuhusu rayvanny kusalia wasafi...

Nyie mtakuwa hamjui raha ya kuwa na ajira huku una biashara yako...
Nawashauri siku mkae na walimu wanaomiliki maduka/migahawa au wale madaktari wanaokesha hospitali huku wana vituo vyao binafsi vya afya/pharmacy

Hakuna msanii anayejielewa na anayetaka kufika mbali asiyekuwa chini ya lebo... Na msanii kuwa na lebo yako ni lazima ukubali kuhatarisha kazi zako za kimuziki ili waliopo chini yako waweze kutoka kupitia ww... Mwangalie don jazzy na marvin yake
 
Rayvanny Hana maajabu yyte, ni jamaa mmoja mlaini mpenda mademu na mwenye majivuno, kiburi, mixer na vidharau vya chini chini, na kiukweli Diamond kambebaa, ameegemea Kwa mademu Sana na vijana walamba midomo wa DSM , hyo inampa faida nyimbo zake kusikilizwa Sana mana nyimbo nyingi ni za wadada , hata hvyo ili upepee inahtaji wanaume wa shoka na support ya wahuni wa mjini mixer na kuchawiana , unafki na sarakasi kibao , kitu ambacho yeye ni too smooth , anajifanyaga Hana haraka at the same time anajiringanisha na harmonize ambaye day to day anapambana heavy battle na anaonekana kutia msuli ....!!!

Afanye yote Ila asijarbu kukosana na Wasafi , ndo tutamsikia kwenye bomba tuu, ni kweli nyimbo zake zinatembea , Ila asijarbu kujilinganisha na mmakonde , Kondeboy ni heavy weight right now...!! Yeye aendelee tu kukomaa na label yake ya kugongea mademu na kupiga picha ..
 
Mzee mbona chuki sana Unajua hata schedule yako ya kula leo
 
Dah! Broo nimesoma koment yako mpaka nikataka niombe faili lako pale mirembe...
 
Iyo label itakuwa kubwa endapo tu atatoka wsiibii lasivyo atakuwa ivo ivo
 
Rayvanny Hana maajabu yyte, ni jamaa mmoja mlaini mpenda mademu na mwenye majivuno, kiburi, mixer na vidharau vya chini chini, na kiukweli Diamond kambebaa, ameegemea Kwa mademu Sana na vijana walamba midomo wa DSM , hyo inampa faida nyimbo zake kusikilizwa Sana mana nyimbo nyingi ni za wadada , hata hvyo ili upepee inahtaji wanaume wa shoka na support ya wahuni wa mjini mixer na kuchawiana , unafki na sarakasi kibao , kitu ambacho yeye ni too smooth , anajifanyaga Hana haraka at the same time anajiringanisha na harmonize ambaye day to day anapambana heavy battle na anaonekana kutia msuli ....!!!

Afanye yote Ila asijarbu kukosana na Wasafi , ndo tutamsikia kwenye bomba tuu, ni kweli nyimbo zake zinatembea , Ila asijarbu kujilinganisha na mmakonde , Kondeboy ni heavy weight right now...!! Yeye aendelee tu kukomaa na label yake ya kugongea mademu na kupiga picha ..
Futa uandike upya ukiwa umeshanyamaza kulia!
 
Back
Top Bottom