Hivi Rama D yupo wapi? Au ameacha muziki toka aoe mzungu?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,043
Huyu jamaa ni fundi sana nadhani hakuna vocalist kama yeye hapa Bongo maana jamaa anaimba vizuri low keys na high keys hasa kwa upande wa waimbaji wa room.

Siku hizi sisikii nyimbo mpya toka kwake; nani anajua alipo amwambie we need good music?

Kuna hii ngoma yake aisee ni kali sana, yaani ni kali balaa.
 
Rekebisha kichwa cha habari.

Hajaoa Ila Ameolewa.

Hakuna Mwanamume Mwenye Uanaume Uliokamilika Anaweza Kwenda Kuishi Kwa Mwanamke Halafu Akakaa Kwa Amani Kabisa.

Siku Hizi Hakuna Tofauti Ya Mchagga Na Mgogo
 
Huyu jamaa namkubali ile mbaya ndio msanii wangu Bora wa muda wote angalia na ngoma yake inaitwa nibebe bonge la ngoma tatizo nyota Hana.
Nyota anayo mkuu tatizo ni walaji siku hizi watu wamezoea miziki ya Kinageria, ndio maana Diamond anapata nguvu na pesa maana amejua kukopi kina Wiz Kid, na hili ndio tatizo wengi hawamuelewi Ally Kiba.
 
Bora ungezungumzia msanii mwingine ila sio Alikiba me mwenyewe alikiba si muelewi ngoma ya mwisho niliyoielewa ya Alikiba ni aje baada ya hapo zinazofuata ni takataka.
 
Bora ungezungumzia msanii mwingine ila sio Alikiba me mwenyewe alikiba si muelewi ngoma ya mwisho niliyoielewa ya Alikiba ni aje baada ya hapo zinazofuata ni takataka.
Sio lazima wewe umuelewe, inawezekana hata darasani ulikuwa mzito kuelewa, ila wengi tunamuelewa Ally Kiba na ndio sababu hata Tabora alipata mapokezi ya kutosha., na vilevile huwezi kuelewa vyote na pia ungepunguza chuki labda ungefunguka ufahamu huwezi kuita kazi ya mtu taka taka,.
 
Maisha ndio yalivyo unaweza msanii fulani usimwelewe Kuna watu wengine wanamwelewa Kama vile wewe umwelewi diamond but watu wengi wanamuelewa au Mimi na wewe tunamwelewa Rama Dee ila watu wengi hawamuelewi na hii inasababishwa na kutofautiana kwenye ladha ya mziki.Me kusema kwamba ngoma zinazofuata za kiba ni takataka sio tu kwa kiba ngoma zote ambazo kwangu ni mbaya naziita takataka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom