Hivi Raisi nagufuli hamfahamu Wasira?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Katika hotuba yake anayoendelea nayo butiama alikuwa akizungumzia suala la barabara ndipo akasema kuna mmoja aliniomba barabara sana yule kavaa shati la ccm hebu asimame mzee wa wasira akasimama akasema huyo hapo huyo kaniomba sana sasa tunakamilisha kuna mbunge mwenzie yupo upande ule wao ni kupiga kura za hapana

Sasa ukiziangalia hizo kauli zimejaa kejeli na dharau kwamba halijui jina la stephen wasira hiki ni kiburi cha hali juu sana pia ina maana hamfahamu mbunge aliemuangusha mzee wasira? Anauliza et mbunge wa sasa hapa anaitwa nani? Majamaa yapo kimya hayajamjibu

Hizi kauli hazina staha ndo mana hata wakina jerry muro wanafurumushana wao kwa wao kwa kuwa hamna mwenye lugha za staha kwa mwenzie tusitarajie umoja wa kitaifa hapa.
 
Ushamba katika ubora wake! Asili haimuachi mtu, hata aelimike vipi.
 
Acha kuhangaika na mgonjwa,ushaambia anaumwa na kateua anayeumwa sasa hujui ubongo kazi zake nini?
IMG_20180902_174152.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom