Hivi Rais wenu ana pesa kuliko nyie Watanzania na Tanzania ?

Hivi wananchi wa jimboni kwako tajiri sana mpaka upate chai Movenpick? Huyo mzungu angepita jimboni kwako au kwenye familia yako, si ajabu angekuuliza swali hilo.
Mkuu swali hilo nilitaka kumuuliza mzee wa Macomedy.Huyu nae atoe boriti kwake kabla ya.....
 
alikuwa honeymoon..si wajua amevuta bibi wa Kiarabu? Huyo ndio Mchumi wa kilimo...kwani hata zile pesa zetu za kodi huoni amazibatiza jina la mabilioni ya JK?
 
jamani yawezekana alienda poteza mawazo...chai ya Rangi pale moven pick mara moja kwa mwaka sio dhambi, hata kama wakaa nyumba ya udongo. Furaha ya siku moja,yaongeza siku za kuishi. Mwaya uwe unaenda enda, ukijichimbia uswahilini wawekezaji utawaonea wapi?wasikupige biti hawaukaogopa kuleta mashamsham ya JK (Handsome boy-teh teh)
 
Mbona jina la hoteli halitajwi? Haina jina?

Alikuwa Grand Hyatt.

Alafu sasa naona tunakosoa kila kitu, yani rais mzima wa nchi mnataka akalale Ramada inn au Studio 6 kisa anabana matumizi? Lunyungu ungemuuliza Bush uwa anasafiri na watu wangapi.
 
Sasa naona meanza kuiga Kunya kwa Tembo, makalio mnayo?
 
Watu masikini Marekani ni 5% wanapata Section 8 na Food Stamp kwetu Tanzania masikini ni asilimia ngapi?

Hali zetu ni mbaya kwa miaka kibao Tumepata Katrina ngapi?
 
Watu masikini Marekani ni 5% wanapata Section 8 na Food Stamp kwetu Tanzania masikini ni asilimia ngapi?

Hali zetu ni mbaya kwa miaka kibao Tumepata Katrina ngapi?

Mjomba yaishe lakini kwa kifupi, Rais wa nchi hawezi kwenda kukaa hotel wanayokaa crack heads, hata hao wenyeji watamkatalia.

By the way accroding to report ya Census Bureau ya August 2006 Poverty % ilikuwa 12.6%
 
Hili swali leo nimeulizwa na mzungu mmoja tukiwa pale Movenpick tunapata chai . Aliniona nimeshika gazeti moja na akaanza maongezi . Akanieleza jina lake na aksema anatoka US.Akasema aliweza kukutana na ujumbe wa Tanzania wakati JK akiwa US kuhudhuria mkutano wa UN.

Baada ya swali lake nikamuuliza kwa nini aliuliza maana kama ujuavyo sisi wabongo swali na swali juu si jibu . Akasema amekuja kuangalia mazingira ya kuwekeza lakini anakuta watu ni masikini na anasoma ma scandal kibao wakati US alishuhudia JK anaishi Hotel ya bei mbaya sana ukilinganisha na maisha ya watanzania kwa muda wa wiki 3 akiwa US.

Nina ncontact za huyu jamaa mkitaka nitawapa na sasa naomba kujua nyie wwatu wa majuu . JK kwa muda wa wiki 3 alijifungua katika Hotel lipi ambalo huyu mzungu anashangaa ? Maana anasema mimi pamoja na pesa zangu siwezi kuishi Hotel ile maana ni ghali .Je rais kwa wiki 3 anawezaje kukaa mle ?

Mimi nawauliza Mzee alipumzika hotel ipi huko US ?

JINA LA HOTEL HYATT www.Hyatt.com MKAPA alikuwa analala hotel ya dollar 10,000/- kwa siku Lexington Hotel
 
tunakubali kuwa rais akienda nchi za kigeni lazima akae sehemu inayoeleweka, lakini sio akae huko na ujumbe wa watu wengi kama vile anavyokwenda nao yeye, na on top of that anakaa masiku kibao, na safari za mara kwa mara

tunafika hivi kweli ? au tukubali kukaa bila ya maji mpaka parapanda lilie ?
 
Hii ina maana kwamba hawa viongozi wetu wanatunadi kwaajili ya kuboresha maisha yao maana kama habari hizi ni za kweli basi tumekwisha.
 
alipokuwa Italy, Raisi aliporomosha party la kupagawisha. Wazungu kibao walianza kumgombea ili kupiga naye picha!!
 
Ndio yale yale ya raisi hawezi kusafiria ndege za abiria wa kawaida, ni raisi wa nchi ala! Inabidi ndege ya raisi inunuliwe hata kama wananchi watakula nyasi...

Haya ndege imenunuliwa, haujapita muda imechemsha? Sijui tatizo nini, but the point is rais wala haitumii amerudi kwenye akina Qatar Air et al. Haya yako wapi!

Lini tutajifunza kuweka vipaumbele vyetu vizuri?
 
But the question that easily comes to mind is ....why? Is it because they wield so much power that no one dares to question them? If so, how can a handful of people have so much power over masses of people like that? How does that happen?

It happens when a party like CCM is left to the whims of political monopoly like KANU enjoyed in Kenya before the formation of coalition politics. What the great people of Nyerere's land need is actually an alternative political leadership like the ODM we now have in Kenya. Groom a political alternative to Kina Kikwete. They dont have necessarily to be your current opposition leaders.

CCM ndio adui mkubwa wa maandeleo Tanzania. Until the Tanzanian people realize this, they will remain forever lamenting as the potbellies now having fun in Dodoma continue swelling.

Amkeni ndugu zetu....eeeh ndio wajibu wenu (from Kenyan national anthem)
 
Watanzania bado tumelala usingizi,bado tuna ndoto za kuwa vyama vyingi ni vita.Yaani umenigusa kweli ndugu yangu,ccm ndio chanzo cha matatizo tanzania,just imagine 42yrs in power but nothing has been done yet,Kenya japo kuna ukabila lakini nawakubali sana,KANU ilipigwa chini,na kipindi hiki Kibaki atapigwa chini,lakini Tanzania bado tuna ndoto ya kumrudishwa huyu nyangema Kikwete 2010.
 
Back
Top Bottom