Hivi Rais wa Tanzania anasikia Raha gani kusafiri na Wafanya Biashara wa Kihindii?

hizi garbage mnazofikiria njaa zenu ni matokeo ya wahindi ni ujinga wa hali ya juu and only ignorants kama nyie ndio mnaoamini hivyo,matatizo yote yanayowafanya biashara/shughuli zenu za maendeleo zenu zisifanyike kama TRA,umeme,foleni,bandarini,rushwa,elimu,mikopo etc zinasababishwa na weusi wenzenu waliojaa huko maofisini ambao ni lazies kama nyie wasiofanya kazi zao wamekalia kula rushwa tuu huko maofisini,hao wahindi wana play na system hiyo hiyo ambayo nyie ndio mmeiweka na kuiongoza,kila rushwa ina mtoa/mpokea rushwa,nani mpokea rushwa 100% kama sio weusi wenzenu wanao run system?mnamlaumu Rostam kila siku na Richmond lakini waliotafuna pesa tena prime minister wameshakimbia kwa aibu na hakuna kila kafanywa zaidi ya kuchaguliwa ubunge tena,huyo Rostam kakataa hajahusika na hajaiba chochote na kasema waziwazi apelekwe mahakamani kama mnafikiri kaiba,sasa mnasubiri nini? mmebakia wahindi wabaya,wakamateni basi kama wanakula rushwa sio kelele tuu,mmetoa tenda za barabara kwa matapeli matokeo yake foleni zinaongezeka,fake investors wana root migodi bila kulipa chochote kwa ajiri ya incompetence & corruption ya maofisa weusi wenzenu,nenda TRA au bandarini ndio balaa maana hata amount ya kulipa huwezi kuambiwa lazima wakuibie kwanza,polisi wanapiga watu bila sababu..yote hayo ni wahindi!!!


Na Rwanda waliowafyeka milioni 1 kwa miezi mitatu ndio werevu? Mtazeeka mnazulula duni nzima.
 
kwa taarifa yako-iddi amini aliwasaidia waganda kuliko wwe unavyojua

...seems you re not a good student of History,walifaidika nini zaidi ya Museveni kwenda kuwapigia magoti tena na kuwarudishia mali zao na kuwalipa fidia,hizi race card dont work brother,hata Hitler alisingizia Jews same garbage na Germany paid big price na still wanalipa,nakushauri acha kumsikiliza Mtikila au Iddi simba watakurudisha stone age
 
jamani,,lets be honest,..
these People ''Indians" ,.they are very good at business,,they know how to run it,,,.but we cant rule out the fact that they mistreat the indigenous and they take our resources abroad,..it z so obvious!!
i dnt think these people are that much patriotic to do whatever z in their power to boost our economy,..they know how to exploit the minds of our leaders and more especially the ruling party,.i have lived with Indians,, and there z no favor that these people can give you without a material benefit out of it,,.
one more thing,,whatever profits they make,,.they send the funds back home.,,now i question if we really get the taxes out of them???
...and jamani when it comes to RUSHWA,.. Indians are very gud at it ,,,tusijindanganye,..these people are so corrupt,..
,.. the govt has not done enough to support the Tanzanians ndo maana hawawaoni,..
 
kibanga embu tufafanulie juu ya huu ugomvi wao,
Je wajua kwa nini Serikali imefeli kuhamia DODOMA ,ni sababu ya wahindi,kwani nchi ingehamia dodoma wao wangekufa kibiashara.
wahindi ni watu kama sisi ,ila wao wanamiungu mingi kuliko sisi,wana umoja kuliko sisi,na ktk umoja huo wanautumia kumnunua kiongozi yeyeote aliyemadarakani.
ukitembelea maduka,viwanda vyao utaona kiongozi wao amepiga picha na kiongozi mkuu wa nchi,lengo ni kuwa ukiwa unakuja kudai kodi,kuwa mteja kuwa na adabu kwani wao ni Dam Dam na kiongozi wenu mweusi.
mimi nimesoma nao nakukaa nao nyumba moja najua how they think,and its not good for our progress,ingawa kwa miaka ya karibuni,Wakinga,wapemba wamefanikiwa kuwaondoa kariakoo na ktk biashara za maduka,sasa wamehamia ktk kuifilisi serikali kwani wengi wao wanafanya biashara na serikali kwa kufanya supply of poor quality products,Fanicha za china and fake deals za pembejeo
Maduka yote ya wahindi ya 1980's-90's wameshachukua wakinga na wapemba.
ila cha kusikitisha Majengo yote ya National housing ya Mjini wameanza kuyajenga.wao,so bado wanahodhi Asset kubwa kubwa TZ.
Unakumbuka ugomvi wa IDD SIMBA na MKAPA kuhusu UZAWA?
 
For sure brothers the first and biggest barrier for native entrepreneurs is TRA, hawa ndio mzawa akijitokeza tu mara mmoja wanashusha nyundo kama tani kumi kichwani mwake, hana hamu tena tunayo mifano mingi sana, na sio kwamba weusi hajui biashara pana mifano pia wahindi wamewakimbia wazawa ktk competition. naomba jamani tusaidieni kupiga kelele km hao wenzetu basi kama ni rushwa WALE KWA MHINDI WAKALALE NYUMBANI KWA MZAWA ! !
 
Back
Top Bottom