Hivi Rais wa Tanzania anasikia Raha gani kusafiri na Wafanya Biashara wa Kihindii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Rais wa Tanzania anasikia Raha gani kusafiri na Wafanya Biashara wa Kihindii?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ehud, May 9, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati Rais wa Tanzania anasafiri kwenda nchi za nje na msafara wa wafanya biashara wa Kitanzania. Au anaitisha mkutano na wafanyabiashara wa ndani hapa hapa nchini. Cha kushangaza kwenye misafara au mikutano hiyo karibu asilimia 98% huwa ni wafanya biashara wa Wahindi..eti hao ndio wafanyabiashara wa ki-Tanzania.....hivi miaka yote tangu Nyerere hadi JK wameshindwa kuwasaidia wajasiria mali wazalendo kujenga biashara kubwa kama Wahindi? Au waona raha hali ikiendelea kuwa hivyo?

  Hii inasikitisha na ninachelea kusema tunahitaji "Native Economic Empowerment" mithili ya "Black Economic Empowerment" ya kule Africa Kusini. Hii ni aibu kwa Taifa letu na ni kujidanganya kuendelea kuamini eti wakina Rostam, Patel,Somaiya, Kanjibhai, Manji and the likes ndio wafanyabiashara wa Kitanzania!
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo Idd Amin alipofaulu Uganda. Hata kama Idd Amin alikuwa noma, kwa hili alifaulu sana.
   
 3. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wahindi ndo wanaendesha uchumi wa nchi hii kama hujui muulize rostam akwambie ana miradi mingapi watanzania wanaenda choo
   
 4. Nditu

  Nditu Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao ndiyo waliomweka madarakani. Unadhani atawalipaje? wapo wengi tu, kina Karamagi, Meghji n.k. kwa jinsi tunavyomfahamu JK kwa fadhila zake kwa wafadhili wake kamwe hatawatupa.
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  JK ni mtumwa, tangu alipokuwa mdogo kabila lake walibebwa utumwa ndio sababu tabia yake hiyo aliiridhi ya kuwasujudia watu weupe na wageni kutoka nje hawezi kuacha.
   
 6. K

  Koba JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Acheni ukuda wa kifala ,nani kawazuia nyie kusafiri na kikwete? tatizo mmechoka na hamna biashara yeyote sasa sijui mnataka Kikwete awabebe awapeleke wapi? rushwa zote na matatizo yenu yote na maamuzi yote yanafanywa na weusi wenzenu lakini akili zenu fupi mnataka kusingizia wahindi,watu wa ajabu sana nyie hamtakaa muendelee,na kwa akili fupi kama zenu zisizofikiria matatizo ya foleni ,umeme etc halali yenu kabisa!
   
 7. K

  Koba JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...alifaulu nini zadi ya kuua uchumi wote wa nchi yake,na sijui hata kama unaelewa unachoandika.
   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hivi hao wahindi sio watanzania? Acheni ubaguzi wa rangi!
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  nilikuwa silijui hili...mkuu hmethod,mlikuwa wote nini ndani ya pipa??
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Wazalendo tuamke sasa manaa uchumi wetu umechezewa sana na wageni na wahindi hawa wanakuja hapa wakiwa hata kiswahili hawajui baada miezi 6 wanasema wamezaliwa mtendeni na kisutu wanapata uraia wanaingia bank wanavuta za maana wanaanza kuzungusha baada 10yrs wananza kufadhili chama wameshasimama.......sisi tunabakia na majungu na malalamiko yasiyoisha...kuna kitu tujifunze na tuamke sasa.....wenzetu baada kuona tumeamka kwa biashara zote import sasa wao wamekimbiliaa viwanda.....hadi tuje tushtuke wao watakuwa kwingine kabisa utakuta leseni moja wanatengeneza bidhaa 7 compound moja!!!!
   
 11. B

  Bobby JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ndugu unafahamu tabia za wahindi? Jaribu kufanya utafiti kidogo then utaelewa mantiki ya mtoa mada. Ni ngumu sana kumkuta mhindi mwenye mapenzi na Tanzania hasa hao wafanyabiashara. Wamekuja kuchuma na kuzipeleza Canada, UK na kwingineko, hawana ni ya kuiendeleza Tanzania.Sijagusa issue ya ubaguzi dhidi ya blacks.
   
 12. B

  Bobby JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Matusi yako yamejikita kwenye theories zaidi na may be hili limesababishwa na wewe kuwa one of them. Jaribu kuwa na nidhamu kidogo. Hata kama mmefanikiwa kucontrol uchumi kwa kuwanunua our cheap politicians I still think unahitaji kutuheshimu japo kidogo. Then kama you are not one of them basi ubongo wako una shida kubwa ni vizuri ukamwona daktari mapema. Unaonekana mweupe wa hali halisi ya business environment ya Bongo. Mbali ya ulaziness kwa baadhi ya watanzania bado business game kwa ujumla iko very unfair kwao wengi hasa pale wanapopambana na wahindi and this is so obvious.
   
 13. malipula

  malipula JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Labda hujajua waafrika weusi hatupendani ndo maana tangu zamani tuliuzana kwenye utumwa.....Viongozi wengi wanapoingia madarakani hasa wa CCM huwa hawana vision ya kuwakomboa watu na kujenga uchumi wa Tz bali matumbo yao
   
 14. Avocado

  Avocado Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Koba are you serious ? You are really short minded,sometimes its wise nit to comment,rather than writing rubbish !!
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kweli sijui kama wewe ujuavyo,ila Amin ana mchango mkubwa sana kwa mafanikio waliyofikia Waganda wazawa ktk uchumi wa nchi yao leo hii.
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Unakumbuka ugomvi wa IDD SIMBA na MKAPA kuhusu UZAWA?
   
 17. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwa nilivyosoma mawazo yake hawezi kukuelewa huyo unapoteza wakati wako ndugu.
   
 18. K

  Koba JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  hizi garbage mnazofikiria njaa zenu ni matokeo ya wahindi ni ujinga wa hali ya juu and only ignorants kama nyie ndio mnaoamini hivyo,matatizo yote yanayowafanya biashara/shughuli zenu za maendeleo zenu zisifanyike kama TRA,umeme,foleni,bandarini,rushwa,elimu,mikopo etc zinasababishwa na weusi wenzenu waliojaa huko maofisini ambao ni lazies kama nyie wasiofanya kazi zao wamekalia kula rushwa tuu huko maofisini,hao wahindi wana play na system hiyo hiyo ambayo nyie ndio mmeiweka na kuiongoza,kila rushwa ina mtoa/mpokea rushwa,nani mpokea rushwa 100% kama sio weusi wenzenu wanao run system?mnamlaumu Rostam kila siku na Richmond lakini waliotafuna pesa tena prime minister wameshakimbia kwa aibu na hakuna kila kafanywa zaidi ya kuchaguliwa ubunge tena,huyo Rostam kakataa hajahusika na hajaiba chochote na kasema waziwazi apelekwe mahakamani kama mnafikiri kaiba,sasa mnasubiri nini? mmebakia wahindi wabaya,wakamateni basi kama wanakula rushwa sio kelele tuu,mmetoa tenda za barabara kwa matapeli matokeo yake foleni zinaongezeka,fake investors wana root migodi bila kulipa chochote kwa ajiri ya incompetence & corruption ya maofisa weusi wenzenu,nenda TRA au bandarini ndio balaa maana hata amount ya kulipa huwezi kuambiwa lazima wakuibie kwanza,polisi wanapiga watu bila sababu..yote hayo ni wahindi!!!
   
 19. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Ili ufanikiwe kwenye ujasiriamali inabidi kichwa chako kiwe kinachemka mno. Fulsa za kutoka / kufaulu ni nyingi tu ila tatizo kubwa ni mtaji.
  Taasisu zetu za fedha hazitoi kabisa mikopo ya biashara hadi uwe na 'dhamana' kama hati ya nyumba nk.
  Wenzetu wahindi kwao ni rahisi mno kupewa mkopo; na kwao mzunguko wa kuhangahikia huo mkopo ni mdogo.
  Ndiyo maana huwezi kukuta mtanzania mwenye asili ya kihindi kaajiriwa serikalini kwani huko mshahara ni mdogo.
   
 20. K

  Koba JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ...wewe na lazies wenzako wanaokupa support ndio mkacheck hizo head zenu,and nobody is controling your Economy zaidi ya nyie wenyewe,hao wahindi ni part ndogo sana ya economy nzima na wana play with the same rules ambazo wazawa wenzako ndio wanaosimamia,na wahindi wala sio tatizo la wewe kuwa maskini au kushindwa kufanya shughuli zako za maendeleo,laumu corruption,incompetence,weak leadership lakini sio wahindi.
   
Loading...