Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

Mfuko upo hoi cha ajabu raisi anamleta mtu ambae hana mawazo mapya zaidi ya kuja kuharibu tena!

Ndugu zangu 2025 ni wakati wa kuwa na mtu makini, mzalendo na anaewajali watu wote, ona wastaafu wanavyotaabika kupata mafao yao wakati walikatwa walipokuwa kazini.
Au anataka huo Mfuko umfie yeye mwenyewe aliyeuanzisha? Ilipaswa achukue kijana wa miaka isiyozidi 45 awe Mwenyekiti li awe na uchungu kwani akimbwelambwela tu anaua Mfuko na yeye mwenyewe anakosa pensheni. Tena ingekuwa mimi ningemfanya yule Dr. Irene Isaka awe Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom