Hivi rais na wabunge baadhi wa CCM wanastahili pongezi au shukrani kwa hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi rais na wabunge baadhi wa CCM wanastahili pongezi au shukrani kwa hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, May 3, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [h=6]
  Nimefikiri mara mbili kuwa kuna watu wanampongeza Raisi kwa kuvunja/kukusudia kuvunja baraza mawaziri. Pia wengine wakipongeza wabunge wa CCM waliosimama kutetea raslimali za nchi nikiwemo mimi mwenyewe. Lakini nimegundua kuwa nimeafanya makosa makubwa, kwani kufanya hivyo ni sawa na " kumsifu mtu aliyegundua kuwa ndani ya mavazi yake kulikuwa na Chawa" ili hali usafi ulikuwa ni wajibu wake. Na kupatikana na chawa si taarifa ya kupongezana bali ya ni taarifa ya kudharauliwa na kushutumiwa.
  kwani huo Ufisadi kama chawa umeapatikana ndani ya mavazi ya CCM ambapo hao wabunge na Raisi wamo humohumo. Ili hali hawa hawa wabunge husema CCM ni Chama madhubuti Haya uchafu/chawa umepatikana ndani ya mavazi yao je wanapaswa kupewa pongezi kwa kuona chawa/uchafu katika vazi lao CCM na hasa ikizigatiwa uchafu/chawa ndani ya CCM ni desturi/utamaduni uliojengeka na kuota mizizi toka zaman
  [/h]
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2

 3. o

  obadiabula Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikichukua kadi ya chama chochote kadi ya hivyo vyama vyenu nitachangia maana sijajifunza bado malumbano.
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ulitakiwa umbongeze bwana afya chadema aliyeamuambia ccm kwamba koti lake na nguo za ndani zina chawa!
   
Loading...