Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,483
- 30,155
- Thread starter
- #61
ConsultantHuyu jamaa hatoondoka Ikulu kwa sanduku la kura. NEC yenyewe imejaa maafisa usalama ambao bila shaka yoyote wanareport na kupokea maagizo kutoka Gogoni kabla ya kutangaza chochote
Mwaka huu ataweka rekodi kwa kuwa Rais wa kwanza mwanaccm, kung'olewa madarakani kwa kipindi kimoja pekee, akiwa bado hajamalizia kipindi chake cha pili!
Amini usiamini, muujiza huo utatokea hapa TZ mwaka huu!