Uchaguzi 2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,683
2,000
Huyu jamaa hatoondoka Ikulu kwa sanduku la kura. NEC yenyewe imejaa maafisa usalama ambao bila shaka yoyote wanareport na kupokea maagizo kutoka Gogoni kabla ya kutangaza chochote
Consultant
Mwaka huu ataweka rekodi kwa kuwa Rais wa kwanza mwanaccm, kung'olewa madarakani kwa kipindi kimoja pekee, akiwa bado hajamalizia kipindi chake cha pili!

Amini usiamini, muujiza huo utatokea hapa TZ mwaka huu!
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,683
2,000
Magu lazima amalize awamu zake zote, hapa tunasumbuana na kutafuta ahueni ya maon ya watu tu, au Tanzania sisi ni wageni, Magu ni rais na ataendelea, ingewezekana kusingekuwa na election tu, haya maneno utayakumbuka mwenye uzi wakat ukifika bado sio parefu.
Na Mimi nakwambia kuwa huyu Rais ataweka rekodi ya kuwa ni Rais wa kwanza mwanaccm, kutumikia kwa kipindi kimoja tu cha miaka 5, wakati kipindi kingine cha pili, wananchi wakiwa wamemkataa kwenye sanduku la kura
 

jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,479
2,000
Katambi kasema Tundu Lissu ni saizi Yake Kama anabisha waweke mdahalo aone atakavyo muaibisha. Pia katambi kasema mtu Kama Salum Mwalimu hafai hata kuwa balozi wa nyumba Kumi.
Makarai katambi Kama tu shinyanga amesusiwa kampeni na ccm wenzake ataweza shinda vipi.
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,961
2,000
Consultant
Mwaka huu ataweka rekodi kwa kuwa Rais wa kwanza mwanaccm, kung'olewa madarakani kwa kipindi kimoja pekee, akiwa bado hajamalizia kipindi chake cha pili!

Amini usiamini, muujiza huo utatokea hapa TZ mwaka huu!
Sadly this won’t happen. Kwa NEC hii?

Tutarudi mwezi Nov kuifufua hii post.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom