Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,772
Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up.
Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia kura kutokana na yeye kuonyesha uwezo wake wa kupiga push up - la sivyo Magufuli asingetumia push up kama sehemu ya kampeni.
Sasa ninachojiuliza ni kwamba, kama Magufuli aliona kwamba kupiga push up kungemsaidia na labda kulimsaidia kushinda kiti cha uraisi, tutegemee kuona push up zaidi zikipigwa dhidi ya Lissu na wagombea wengine wa upinzani?
Labda ni vema kina Lissu na Membe na wagombeaji wengine wa uraisi mkaanza mazoezi ya kupiga push up. Naona kama kuna Watanzania wanaamini kwa dhati kwamba raisi wa Tanzania lazima awe na uwezo wa kupiga push up!