Uchaguzi 2020 Hivi Rais Magufuli atapiga tena push up kwenye kampeni kuonesha anafaa kuwa Rais?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up.

Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia kura kutokana na yeye kuonyesha uwezo wake wa kupiga push up - la sivyo Magufuli asingetumia push up kama sehemu ya kampeni.

Sasa ninachojiuliza ni kwamba, kama Magufuli aliona kwamba kupiga push up kungemsaidia na labda kulimsaidia kushinda kiti cha uraisi, tutegemee kuona push up zaidi zikipigwa dhidi ya Lissu na wagombea wengine wa upinzani?

Labda ni vema kina Lissu na Membe na wagombeaji wengine wa uraisi mkaanza mazoezi ya kupiga push up. Naona kama kuna Watanzania wanaamini kwa dhati kwamba raisi wa Tanzania lazima awe na uwezo wa kupiga push up!

1596481532628.png
 
Kama yupo mtu anashida Ni huyu mwamba. Tanzania hii ya digitali alisema tu wanarusha asubuhi
 
Safari atakuwa na mpira atapiga danadana za kutosha jukwaani.
Halafu mwambie na huyo mwakilishi wa timu ya Nyumbu ajaribu aone.
 
Anastahili kupiga pushap ni tundu antipas lisu kuonyesha ukuu wa Mungu. Kumponya na risasi 16 mwilini mwake ambae hakuna mwananchi yeyote alierekodiwa Tanzania hata majambazi waliopata kichapo hicho halafu wakatoka salama risasi za afande siro zikiwa kumi zinauwa washukiwa kumi risasi 16 za jwt. Hazijamdondosha lisu hamuoni maajabu?
 
Apige push ups kwa sababu zipi wakati ameshaona watz mazoba tu, bila hata push ups lazima atashinda
 
Anastahili kupiga pushap ni tundu antipas lisu kuonyesha ukuu wa Mungu. Kumponya na risasi 16 mwilini mwake ambae hakuna mwananchi yeyote alierekodiwa Tanzania hata majambazi waliopata kichapo hicho halafu wakatoka salama risasi za afande siro zikiwa kumi zinauwa washukiwa kumi risasi 16 za jwt ..... Hazijamdondosha lisu hamuoni maajabu?
Kitakacho fanya jamii ione Tundu Lissu hafai pale kampeni zitakapoanza ni vile atakapoanza kusema kuwa Magufuli hajafanya chochote .. Ataanguka vibaya mno na asitumie kupigwa risasi akidhani kama atapata huruma!.
 
Na wengine waliotambua umuhimu wa kuwaonyesha wapiga kura uwezo wa kupiga push up! Nakumbuka tukiwa jeshini ukipiga push up namna hiyo ulikuwa unaambiwa na green kwanja unaifanya dunia kitu mbaya!

View attachment 1526348

Lakini hii sio push up, Bali no style ya kufanya mapenzi inaitwa "Mkuno wa Nazi".
Maarufu sana kwa watu wanene!
 
Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up.

Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia kura kutokana na yeye kuonyesha uwezo wake wa kupiga push up - la sivyo Magufuli asingetumia push up kama sehemu ya kampeni.

Sasa ninachojiuliza ni kwamba, kama Magufuli aliona kwamba kupiga push up kungemsaidia na labda kulimsaidia kushinda kiti cha uraisi, tutegemee kuona push up zaidi zikipigwa dhidi ya Lissu na wagombea wengine wa upinzani?

Labda ni vema kina Lissu na Membe na wagombeaji wengine wa uraisi mkaanza mazoezi ya kupiga push up. Naona kama kuna Watanzania wanaamini kwa dhati kwamba raisi wa Tanzania lazima awe na uwezo wa kupiga push up!

View attachment 1526347
Atafanya ambacho wagombea wengine hawawezi!
 
TL mnampaisha Sana! Hana hadhi hiyo! Ni mberigiji zaidi kuliko Kuwa mtz!
Mkuu toa point za maana acha ushabiki wa kijiweni. Sasa kusema Tundu Lissu Mbelgiji zaidi ndio nini kama sio pointi za kitoto? Kuna watu waliitwa kuwa mawaziri baada ya kukaa nje ya Tanzania zaidi ya miaka mitano, USA au UK. Mbona hawakuonekana ni wa UK au USA zaidi kuliko Watanzania? Unajua Muhongo alikaa nje miaka mingapi kabla ya kuitwa kuja kuwa waziri?

Halafu ni tunasema Mbelgiji sio Mbergiji. Vitu kama hivyo vinatoa taswira ya kiwango chako cha elimu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom