Hivi Rais Magufuli anavyohamasisha utumiaji wa pombe ya gongo na uvutaji wa bangi anataka vijana wa nchi hii wawe vichaa?

Mimi sidhani kama Rais alimaanisha kweli kwamba Prof.Mbarawe akavute bangi.A sensible person could see this.Alichomaanisha ni kwamba Prof.awe mkali na asiogope watu kama mvuta bange.Si unajua,mvuta bange anamuona mtu kama sisimizi.
 
Rais magufuli legalise weed. Everyone needs to smoke and chill

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Tunajua hanywi pombe! lakini NDUMU ehhhhhh! ulizia seminari ya katoke kilichomfukuzisha ni nini! Hata lile dirisha alilobomoa alilifidia juzi. Na alipokuwa Lake sec ndiyo mtu na NDUMU.
Ndumu ni nini mkuu,hii imenipita,naomba msaada.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu hivi Leo kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??

Katika kauli zake maarufu moja wapo ni hii "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU"--- hivyo Raus Mgufuli yeye anaona kwa kuhamasisha Bangi na Gongo amesema ukweli na hivyo Mungu atampenda.😁😁
 
kwan kahamasisha? kasema ikipimwa basi iuzwe... sasa unafikiri kuna kilichipimwa kikawa kibaya? sawa ni kirasimishwe... angalia konyagi ina alcohol parcent kubwa lakin inauzwa! swala ni kuwa hapo nyuma gongo ilikuwa haipimwi inauzwa kiholela hvyo watu wanakunywa bila kujua inakias gan cha kilevi ndan yake... na ndo maana ikawa hatari kwa sababu ya alcohol iliyopo ndan ya gongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ndio kuhamasisha kwenyewe, EBO?
 
Hahaaaaaaa........

Angalia Mkuu Mwala, usije ambiwa wewe ni mchochezi na unatumiwa na mabeberu na "ikaamriwa" uende pimwa mkojo!
Screenshot_2019-04-21_074448.jpg
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Kunakitu kinaitwa perspective view,kutokana na uelewa wako mdogo juu ya hotuba aliyo itoa Mh.Raisi ndio maana ume interpret hivyo,ila kwa wenye uelewa mpana na walio isikiliza hotuba ya Mh.Raisi walimwelewa sana,ana maanisha nini katika sera yake ya viwanda.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Usishangae mkuu.
Ilishatabiriwa kuwa mwaka huu 2019 na mwaka kesho 2020 tutaona na kusikia mengi ya kushangaza sana.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
kiongozi mkuu wa malaika
 
rais wetu ni mzalendo sana binafsi nimemkubali sana kwa hizo point. Sioni kama kuna kosa hapo kwenye kuboresha gongo kwanza ni kinywaji ambacho hata ukipigaje vita kamwe huwezi kidhibiti but kwa hili la ganja labda utafiti ungefanyika ila kijiti ni kitu 97.99% pure medication
 
Cha ajabu wabunge WA kanda ya ziwa ndio wanaohamasisha bangi. Bado hawajaona madhara ya kuchagua viongozi waliokuwa wanavuta bangi ujanani, ndio wanaotusumbua Leo kwenye ngazi Za maamuzi
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Yeye mwenyewe alisema ni kichaa na anateua vichaa wenzake. Nadhani hazina yake ya vichaa imeanza kupungukiwa, anajitahidi kuongeza idadi
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Gongo na Bangi mi nazan vingeruhusiwa tu. Vimekatazwa na matumizi yake ni makubwa kuliko! Na Tuache unafiki tuwe wakweli polisi na mahakimu wanajua ukweli huu. Na ndio maana kesi za bangi na gongo huwa zinaishia juu kwa juu. Utawafunga wangapi? Huko. Msumbiji gongo ni halali na maisha yanaendelea km kawa. Na huko duniani mataifa mengi yamehalalisha ganja na hakuna matatizo. Tuwapunguzie polisi vyanzo vya rushwa!
 
..pombe na bangi zina MADHARA.

..hakuna TAIFA lolote linalojitambua ambalo VIONGOZI wake wanahamasisha unywaji wa POMBE, na uvutaji BANGI/SIGARA.
Duuh... Kiongozi si kweli. Dunia bila pombe na ganja ingekuwa sio.sehemu salama. MPE MASIKINI KILEO ASAHAU SHIDA ZAKE! alisikika mfalme Suleiman ktk busara zake.
 
Gongo lilipimwa likaonekana ni hatari kwa afya ya wanywaji sasa ipimwe ili iweje tena? Mh. hawatakii mema wananchi wake kila kibaya kwake ruksa ili abaki na mazezeta iwe rahisi kuyaongoza.
Hujui historia ya gongo kaa kimya! Kiwanda cha konyagi kilifunguliwa kwa makubaliano ya kununua gongo za mitaani na kuziboresha lakini sasa imekuwa tofauti. Matumizi ya gongo yameanza kabla ya babu yako mzaa babu mzaa bibi hajazaliwa. Watu wapewe haki zao.
 
Back
Top Bottom