Hivi Rais Magufuli anavyohamasisha utumiaji wa pombe ya gongo na uvutaji wa bangi anataka vijana wa nchi hii wawe vichaa?

Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu hivi Leo kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Hii inadhihirisha kuwa tuna rais mvuta bangi na mlevi wa gongo
 
Mwendo wa bangi nibangue kama koroshow kesho mapema barabara nawasha misokoto mitatu kwa mpigo na dumu langu la gongo mgongoni kama nfuko pc tuone nani atanigusa ruksa
Ni kweli kutokana na kauli yake hii Mheshimiwa Rais, atawapa wakati mgumu sana Polisi wetu watakaokuwa wanawakamata vijana wetu wanaovuta bangi, kwa kuwa watajibu kuwa Rais ameshaihalalisha!
 
Uwezo wa kufikiri wa MTU upimwa kwa output ya kimtokacho MTU na si wingi wa vyeti. Mwanasiasa huwa hajali kuhusu jamii zaidi jinsi ya kupata kura.
 
Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Acha kutupotoshea dini yetu wewe mtu, hakuna sehemu dini ya kikristo imekataza pombe, TAJA DHEHEBU!!..
 
Hakika kwa sasa ndiyo naona umuhimu wa wale jamaa zetu wa kitengo, kuwafanyia "vetting" hawa jamaa tunaotaka kuwapa dhamana kubwa za kitaifa, ili wajihakikishie kuwa mtu anayeshika wadhifa huo anakuwa sawa huko upstairs.......

Ili tuliepushe Taifa letu na aibu, kama hii tuipatayo hivi sasa

Ccm walichojali ni kuokoa chama kwanza dhidi ya ukawa,hata mengine yakienda ndivo sivyo.Hivo awakujali mambo ya vetting.
 
Bajeti ya wizara ya maji kawanyima pesa, vihela kiduchu kawapa,sasa hiyo mibange ndio inaongeza bajeti au ndio ukichaa umepamba moto. Toa pesa Magufuli bange vuta mwenyewe, usie shindwa kwa lolote.

Ofisi nyingi hazina hela ya kujiendesha hadi wanashindwa kujiendesha ni aibu kwenda vituoni hata karatasi tu hawana ukitaka fomu za dhamana au yeyeto unaambia kachukue stationary hapo nje,fomu za huduma za serikali tena tunalipa kodi kwenda kununua nje stationary ni umasikini wa hali gani huu.Ofisi nyingi Hazina vitendea Kazi hivo kupelekea kushuka kwa ufanisi
 
Alishawajua Ufipa ni watu kujitoa ufahamu kila Jambo jema lenye maslahi mapana ya nchi kwenu si lolote Ngoja aje na hii gongo na bangi tuone comments zenu
 
Mzee Mwanakijiji ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi Rais anatakiwa kuwa mtu wa utani katika mambo serious?

Hivi unadhani kauli yake Rais aliyoitoa hadharani, huku akipata coverage kubwa ya vyombo vya habari, ikiwemo kurushwa Live na TBC itakuwa imeleta impact gani kwa jamii kwa ujumla wake??

Ndiyo maana ya kusisitiza kuwa ni vyema Rais wetu akawa anasoma hotuba anazoandaliwa na wataalamu wa hotuba, ili kuepuka aibu kama hii iliyotokea kule Makambako
wenye akili kubwa ndio hua tunamuelewa rais wetu lakini kwa nyie wenye akili nyembamba kama kurasa za biblia ndio hua hamuelewi kila jambo analo lisema jpm, hivi wewe kwa akili yako (japo sina hakika kama unaakili) unaamini km rais anaweza kumshauri mtu avute bangi? kama jibu lako kwa swali hili ni NDIO basi endelea kupiga story na wenzio wenye akili kama yako sio mm
 
Je, ni halali, haki na busara kwa Rais wetu kuhamasisha unywaji wa gongo na uvutaji wa bangi, tena kwenye mkutano wa hadhara huku akimshauri Waziri!!!?
You know, as well as I do, JPM didn’t really intend to mean people could indulge in gongo and bhang liberally, uncontrolled and against pertaining laws of this country. If you don’t believe this, try smoking bhang and drinking gongo outside your local police sttation today. He only used the statements he did as rhetorical devises to emphasize the points he was trying to make, and he never meant it in any literal sense.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu hivi Leo kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
Ondoka hapa na hiyo dini yako! Kwani unadhani Raisi yupo kwa ajili ya kupeleka watu mbinguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Marekani wanauza kwenye maduka maalumu
 
Hivi Watanzania kila kitu mnachukulia serious kiasi kwamba hata Rais asiseme neno la utani; na mahali pa utani. Akiwa mkali sana mnasema ananuna sana au mkali sana. Mbona ukimsikiliza alisema kwa utani lakini ndani yake alikuwa anasisitia jambo muhimu. Tusije kuwa watu wa kukwazwakwazwa mara kwa mara.. hata kwa vitu vya utani..

Halafu watu mkumbuke kuwa bangi inaendelea kuondolewa sehemu nyingi duniani kama kosa la kihalifu..
Mzee Mwanakijiji, hivi unakumbuka kauli ya Rais Zuma ilivyowachefua wapambanaji dhidi ya virusi vya ukimwi na ukimwi duniani!!!? Kauli yake ya hovyo ya kutembea na mwanamke mwenye virusi vya ukimwi kisha kuoga maji ya Moto mara baada ya tendo hilo, Ilichefua Sana maana ilikuwa na lengo la kurudisha nyuma juhudi zote zilizokwisha fanywa kupiga Vita HIV. Japo baadaye alidai kuwa alikuwa amefanya tu utani, damage ilikuwa tayari ni kubwa.
Rais asfanye utani kwenye mambo nyeti yanayobeba aidha criminal offense or uhai wa watu!!
 
Na wewe ngoja nikuulize swali dogo tu

Ni kwanini unapovuta bangi unavuta uchochoroni huku umejificha, kama bangi ni sawasawa na sigara ya kawaida??

Na kwanini akina Wema Sepetu walikamatwa na Polisi na waliburuzwa mahakamani, na mahakama hiyo ikamkuta na hatia, kama bangi inaruhusiwa kuvutwa hadharani??
Eeh
 
Mzee Mwanakijiji, hivi unakumbuka kauli ya Rais Zuma ilivyowachefua wapambanaji dhidi ya virusi vya ukimwi na ukimwi duniani!!!? Kauli yake ya hovyo ya kutembea na mwanamke mwenye virusi vya ukimwi kisha kuoga maji ya Moto mara baada ya tendo hilo, Ilichefua Sana maana ilikuwa na lengo la kurudisha nyuma juhudi zote zilizokwisha fanywa kupiga Vita HIV. Japo baadaye alidai kuwa alikuwa amefanya tu utani, damage ilikuwa tayari ni kubwa.
Rais asfanye utani kwenye mambo nyeti yanayobeba aidha criminal offense or uhai wa watu!!
Ni kweli, Rais ni "public figure" kila analoongolea linakopiwa na watu wake.......

Kwa hiyo ni "wrong concept" kusema Rais alikuwa akifanya mzaha!
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu hivi Leo kule Makambako, Rais wetu Magufuli wakati akiwahutubia wakazi wa huko akimwelelekeza Waziri wake wa Maji, kuwa eti avute bangi kisirisiri, ili awe mkali katika kushughulikia miradi ya maji nchini!

Tulimsikia pia Rais Magufuli huko siku za nyuma akisema kuwa pombe ya gongo itengenezwe kitaalamu zaidi ili ihalalishwe watu wainywe!

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi Rais Magufuli "kupigia" debe pombe ya gongo na kuvuta bangi haoni kuwa analipotosha Taifa hili, ili vijana wake wawe walevi wa kupindukia kwa kutumia hivyo vilevi ambavyo kisheria ni haramu??

Najiuliza pia hivi Rais wetu kama kweli ni muumini wa Dini ya kikristo, ambayo katika Biblia takatifu inaeleza wazi kuwa ulevi wowote ule ni dhambi kubwa ambayo mshahara wake ni kuchomwa moto wa milele na milele hapo siku ya hukumu huko mbinguni, inakuwaje basi yeye awe ndiye muhamasishaji mkubwa wa vitendo hivyo, ambavyo ni kinyume cha maadili ya dini zetu zote za kiislam na kikristo??
anavopululiza yeye alafu inampindisha anazani wote watafanana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa unamsikiliza ukiwa kichwa chini miguu juu nini?
nani
article-0-09388217000005DC-587_634x423.jpg
Screenshot_2019-04-12_211643.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom