Hivi Rais Magufuli anafanya upendeleo katika utumbuaji wa wateule wake?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,477
30,137
Tumeshuhudia teuzi za Rais Magufuli zikiwa ni za moto kweli kweli, na kwa wengine wamekuwa hawadumu kwenye teuzi hizo zaidi ya miezi 6 tokea wateuliwe!

Swali kubwa linaloulizwa na watanzania hivi sasa, je Rais yuko fair katika utumbiuaji wake?

Hebu tuchukulie mifano ifuatayo:-

Tumeshuhudia watanzania wengi wakimlalamikia Mkuu wa Mikoa wa Dar, Paul Makonda, kuwa anatumia jina la bandia na cheti chake ni cha kufoji na jina lake halisi ni Daudi Bashite

Lakini tumeona Mkuu wa nchi akijibu tuhuma hizo kuwa yeye hajali mtu kama ametumia vyeti vya kufoji, anachojali yeye ni uchapaji kazi na kwa kuwa Paul Makonda anamchapia kazi, na anamkamatia wauza madawa ya kulevya, akamhimiza chapa kazi dogo!

Mfano wa pili ni wa Mkuu mikoa wa Arusha, Mrisho Gambo, ambaye alinukuliwa akiwahamasisha Umoja wa Kina mama wa Mkoa wa Arusha, ikibidi wawafanyie fujo wapinzani, kwa kuwa jimbo la Arusha mjini ni lazima lirudi CCM!

Mfano mwingine ni wa Mkuu mpya wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ambapo Mbunge Joshua Nassari alionyesha ushahidi wa dhahiri wa namna alivyokuwa akigawa rushwa kwa madiwani wa Chadema, ili wajiunge na CCM

Mfano mwingine ni jinsi yule kijana Akwilina alivyouawa kwenye maandamano ya Chadema, ambapo tulimsikia Kamanda Maalum wa Polisi wa Dar, Athumani Mambosasa, akikiri kuwa mmoja wa askari wake ndiye aliyehusika na mauaji hayo na kuwa askari wake 6 wapo ndani kwa uchunguzi zaidi

Lakini tulishangaa baada ya siku chache DPP akijitokeza na kutuambia kuwa faili hilo wamelifunga baada ya kutombaini mtu aliyemuua mwanafunzi Akwilina!

Unajua kwenye familia mnapokuwa na mzazi ambaye anaonyesha upendeleo wa dhahiri kwa mmoja wa watoto wake, hao watoto wanatokea kumdharau mzazi huyo!

Je hiyo ndiyo hali iliyolikumba Taifa kwa hivi sasa??
 
Wanatoka wote kolomije
Ndege wafananao huruka pamoja
Lakini kwa Mkuu wa nchi anapaswa awe fair kwa wananchi wake wrote

Siyo kama anavyofanya jamaa kwa kuwasamehe wasibomolewe wakazi wa Mwanza kwa kuwa wamemchagua!

Huku akiruhusu wakazi wa Kimara hadi Kiluvya wabomolewe bila ya huruma!
 
Sisi wasukuma tunatamba tu awamu hii na muda sio mrefu tutaanza kuchunga ng'ombe wetu pale uwanja wa taifa na watatibiwa muhimbili.
Kama wewe sio wa kabila letu utapata shida sanaaa!!! Tutahakikisha mpaka 2020 kanda ya ziwa itakuwa viwanja vya ndege kila kijiji na hospitali ya rufaa kila mtaa
 
Kama wewe sio wa kabila letu utapata shida sanaaa!!! Tutahakikisha mpaka 2020 kanda ya ziwa itakuwa viwanja vya ndege kila kijiji n
a hospitali ya rufaa kila mtaa
Hahaaaaa........:D:D

Ndivyo mnavyotamba nyiye wakolomije??
 
ninachkijua ni kwamba huyo mtu ana uwezo na uthubutu wa kupambana na rushwa za awamu zilizopita sio za kwake. BASHITE aliingiza makontena kwa jina lake binafsi hapa alifanywa nn zaidi ya kupongezwa.
Kama mkurugenzi wa mafia anavyofanya ufisadi ila haonekani kabsaa au kisa yupo kisiwani? Hakuna media? Na nasikia mwenge umempongeza
 
Duh.... Angalau hiyo issue ya Mkuu wa Wilaya imefika kwenye jukwaa la Where we dare to talk openly......

Nadhani itafanyiwa uchunguzi hivi sasa
 
Sisi wasukuma tunatamba tu awamu hii na muda sio mrefu tutaanza kuchunga ng'ombe wetu pale uwanja wa taifa na watatibiwa muhimbili.
Kama wewe sio wa kabila letu utapata shida sanaaa!!! Tutahakikisha mpaka 2020 kanda ya ziwa itakuwa viwanja vya ndege kila kijiji na hospitali ya rufaa kila mtaa
Lakini huyu bwana sio msukuma bali anajua kisukuma hapo tusidanganyane huyu bwana ni mhutu sema sababu inabidi ajiegemeze kwenye ukabila maana hakubaliki na yeyote yule
 
Ha ha ukiwa Doto kila asubuhi na faili ikulu ucheki wachote ngapi
Makonda lazima wanywe chai pamoja ili wapange nani ango'lewe usijiulize kwa nini kila kitu zero by the way vipi dreamliner imeenda bombay
 
Tumeshuhudia teuzi za Rais Magufuli zikiwa ni za moto kweli kweli, na kwa wengine wamekuwa hawadumu kwenye teuzi hizo zaidi ya miezi 6 tokea wateuliwe!

Swali kubwa linaloulizwa na watanzania hivi sasa, je Rais yuko fair katika utumbiuaji wake?

Hebu tuchukulie mifano ifuatayo:-

Tumeshuhudia watanzania wengi wakimlalamikia Mkuu wa Mikoa wa Dar, Paul Makonda, kuwa anatumia jina la bandia na cheti chake ni cha kufoji na jina lake halisi ni Daudi Bashite

Lakini tumeona Mkuu wa nchi akijibu tuhuma hizo kuwa yeye hajali mtu kama ametumia vyeti vya kufoji, anachojali yeye ni uchapaji kazi na kwa kuwa Paul Makonda anamchapia kazi, na anamkamatia wauza madawa ya kulevya, akamhimiza chapa kazi dogo!

Mfano wa pili ni wa Mkuu mikoa wa Atisha, Mrisho Gambo, ambaye alinukuliwa akiwahamasisha Umoja wa Kina mama wa Mkoa wa Arusha, ikibidi wawafanyie fujo wapinzani, kwa kuwa jimbo la Arusha mjini ni lazima lirudi CCM!

Mfano mwingine ni wa Mkuu mpya wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ambapo Mbunge Joshua Nassari alionyesha ushahidi wa dhahiri wa namna alivyokuwa akigawa rushwa kwa madiwani wa Chadema, ili wajiunge na CCM

Mfano mwingine ni jinsi yule kijana Akwilina alivyouawa kwenye maandamano ya Chadema, ambapo tulimsikia Kamanda Maalum wa Polisi wa Dar, Athumani Mambosasa, akikiri kuwa mmoja wa askari wake ndiye aliyehusika na mauaji hayo
na kuwa askari wake 6 wapo nfani kwa uchunguzi zaidi

Lakini tulishangaa baada ya siku chache DPP akijitikeza na kutuambia kuwa faili hilo wamelifunga baada ya kutombaini mtu aliyemuua mwanafunzi Akwilina!

Unajua kwenye familia mnapokuwa na mzazi ambaye anaonyesha upendeleo wa dhahiri kwa mmoja wa watoto wake, hao watoto wanatokea kumdharau mzazi huyo

Je hiyo ndiyo hali iliyolikumba Taifa kwa hivi sasa??

Hiyo ni kawaida kwani na yeye ni Binadamu pia, na kila Binadamu ana upendeleo wa namna moja au nyingine, hata kwenye familia Wazazi kuna mtoto mmoja wanamependelea zaidi klk wengine ingawaje wote ni watoto wao, ni kawaida Raisi Magufuli hawezi kuwa mkamilifu kwa maana ni Binadamu lkn anajitahidi kadiri ya uwezo wake pamoja na limitations alizonanzo za kuwa Binadamu!

Hivyo swali lilipaswa liwe kama waliotumbuliwa wameonewa au la, na siyo kwa nini huyu katumbuliwa na yule kaachwa!
 
Tumeshuhudia teuzi za Rais Magufuli zikiwa ni za moto kweli kweli, na kwa wengine wamekuwa hawadumu kwenye teuzi hizo zaidi ya miezi 6 tokea wateuliwe!

Swali kubwa linaloulizwa na watanzania hivi sasa, je Rais yuko fair katika utumbiuaji wake?

Hebu tuchukulie mifano ifuatayo:-

Tumeshuhudia watanzania wengi wakimlalamikia Mkuu wa Mikoa wa Dar, Paul Makonda, kuwa anatumia jina la bandia na cheti chake ni cha kufoji na jina lake halisi ni Daudi Bashite

Lakini tumeona Mkuu wa nchi akijibu tuhuma hizo kuwa yeye hajali mtu kama ametumia vyeti vya kufoji, anachojali yeye ni uchapaji kazi na kwa kuwa Paul Makonda anamchapia kazi, na anamkamatia wauza madawa ya kulevya, akamhimiza chapa kazi dogo!

Mfano wa pili ni wa Mkuu mikoa wa Atisha, Mrisho Gambo, ambaye alinukuliwa akiwahamasisha Umoja wa Kina mama wa Mkoa wa Arusha, ikibidi wawafanyie fujo wapinzani, kwa kuwa jimbo la Arusha mjini ni lazima lirudi CCM!

Mfano mwingine ni wa Mkuu mpya wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ambapo Mbunge Joshua Nassari alionyesha ushahidi wa dhahiri wa namna alivyokuwa akigawa rushwa kwa madiwani wa Chadema, ili wajiunge na CCM

Mfano mwingine ni jinsi yule kijana Akwilina alivyouawa kwenye maandamano ya Chadema, ambapo tulimsikia Kamanda Maalum wa Polisi wa Dar, Athumani Mambosasa, akikiri kuwa mmoja wa askari wake ndiye aliyehusika na mauaji hayo
na kuwa askari wake 6 wapo nfani kwa uchunguzi zaidi

Lakini tulishangaa baada ya siku chache DPP akijitikeza na kutuambia kuwa faili hilo wamelifunga baada ya kutombaini mtu aliyemuua mwanafunzi Akwilina!

Unajua kwenye familia mnapokuwa na mzazi ambaye anaonyesha upendeleo wa dhahiri kwa mmoja wa watoto wake, hao watoto wanatokea kumdharau mzazi huyo

Je hiyo ndiyo hali iliyolikumba Taifa kwa hivi sasa??
Selective prosecution/tumbualing
 
Back
Top Bottom