Hivi Rais bado anaweza kuteua au kutumbua?

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Baada ya kuvunja Bunge hivi Katiba au Sheria husika inasemaje kuhusu majukumu ya Rais kutumbua Mawaziri, kuteua Watendaji, n.k?

Je, pia mfano inatokea vita, Bunge linaweza kuitishwa kwa dharura ya kuidhinisha nchi yetu kwenda vitani kwa sasa?
 
Hilo la kwanza linawezekana kabisa, unaambiwa madaraka ya Rais "A" huwa yanafikia ukomo ile siku ya kuapishwa Rais "B" kwa hiyo hata ktk kipindi cha kampeni huyu ni mgombea lakini bado anaendelea na majukumu ya Urais, ndio maana akasema Serikali hailali inaendelea kuwa kazini.

Hilo la pili silijui watakuja wajuzi zaidi kulidadavua
 
IMG_2652.JPG

Mwaka wa Uchaguzi
 
Back
Top Bottom