Hivi rage anaweza kumwona obama kirahisi hivi??hii nchi kweli imeuzwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
SIJUI NISEME RAIS WETU YUKO CHEAP SANA ,YAANI LEO NILIKUWA NAZUNGUKA KWENYE MADUKA KUTAFUTA VITU YAANI HAWA WAHINDI WAMEWEKA KPICHA ZAO KWENYE MADUKA YAO NA KIKWETE UNAJIULIZA WANAPIGAGA NAE SAA NGAPI AMA NDIO VILE VINGORA VYA SAA TATU USIKU TUNAJIULIZA RAIS ANAKWENDA WAPI MUDA HUU..SASA LA HUYU RAIS WA HII TIMU YA MAREKANI AMENISHTUA MAANA NATUMAINI RAGE AKIEND MAREKANI MPAKA AMWONE OBAMA JINSI YA KUITANGAZA MAREKANI TANZANIA KAZI KWELI KWELI
seattle+%25281%2529.jpg
 
Eeeehhhhh minilkuwa sijui ati wetu wa pemba kumwona labda anapanda ndege lakini leo nantafuta kitu njini yaani kila duka la muhindi yuko kikwete kasema wallahi kikweete weye muda wa kupiga na kila mtu unapata wapi rais wetu
 
Hiyo kazi ilikuwa ifanywe na masekretari tu wa typing pale Ikulu, na si Rais wa Jamhuri!
 
Tanzania tutajuta hakika na bado..ila tujipe moyo tutashinda kukata tamaa mwiko
 
Simshangai mh prezdaa, ye mwenyewe alishawahi kwenda kukutana na CEO wa Marks n Spencer eti akamuomba aje awekeze Tanzania, afungue kiwanda cha nguo, matokeo yake ndo haya!
 
Kumbe tupo wengi tumeliona hili, nimeobserve kweli ofisi za Wahindi wengi madukani wameweka Picha zao na JK au PM. Nafikiri kuna haja ya washauri wake kumweleze vizuri. maana kuna wengine wanatumia nafasi ya kupiga naye picha katika kufanikisha shughuli zao. Duuh!
 
Hata pale kwenye kimgahawa cha KT room Kisutu opposite na Chef Pride kuna picha ya JK amepiga na wamiliki Wa hicho kimgahawa
 
JK kapiga picha hadi na Dogo Janjawa bongo fleva itakuwa huyo mzungu?

Mlikosea sana kumwambia he is handsome and photogenic, angekuwa na sura kama raisi Kibaki sidhani kama angekubali kupiga picha hovyo. ooh my.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom