Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 190
- 14
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa kuumizwa na huyo binti ?