Hivi radio Clouds FM imekuwa radio ya taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi radio Clouds FM imekuwa radio ya taifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PAMBA1, Nov 7, 2011.

 1. PAMBA1

  PAMBA1 Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nashangazwa sana na matangazo yanayotangazwa na radio clouds fm kuhusu miaka hamsini ya uhuru,hivi hiyo pesa iliyolipia matangazo hayo ya kila mala si niyawalipa kodi masikini wa tanzania.halafu tunaradio ya taifa TBC kazi yake ni nini mpaka tunatumia radio binafsi au clouds fm na watangazaji wake kina mchomvu,suka, seba,na kibonde wanajua uhuru ulivyopatikana kuliko watangazaji wa tbc kina malinyi hasan na wenzake
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kupewa tenda kama hizi sio jambo lakushangaza hata kidogo kwani kama bday wanamfanyia mkuu wa kaya unadhani ataacha kuwafanyia mambo ambayo kwao ni mazuri ila kwetu walipa kodi yanatukandamiza
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nchi ya deal hii....ile birthday haikwenda bure..return on investment(rio)
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nyiye mwaishi nchi gani hamjui Clouds ni nani nan ni nini?

  [​IMG]
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  kuna mtu flani serikalini natamani afe kabla ya 2015
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Acheni wivu
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Taifa la Kibonde na Hando. Wanafuata sana ile sera ya ccm inasema JIKOMBE UKOMBOREWE na reward ndio hayo matangazo ya uhuru wao wa Tanzania bara yao. Sisi tunaosherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika hatuna noma kwani tunajua kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
   
 9. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh! Nani huyo mkuu? Ninong'oneze mimi tu
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  matanzania ndivyo yalivyo..
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mmejawa na wivu kama Mwita25
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa 88.4 ni nomaaaaaaaaaaaaa imekamata kotekote sector zote kuanzia kwa mdosi,marketing manager mpaka ikulu kazi ni kwako
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kiredio chenu sikilizeni tu,na hao watu wenu,kibonde na timu yake,lakini laana ii juu yao kwa yale waliofanikisha kukandamizwa na kunyoshwa kwa wavuja jasho wa nchii hii kupitia kiredio chao.
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Chema chajiuza, kibaya chajitangaza,

  Kuna sababu gani za kupiga zumari na la mgambo kuwaambia wananchi kwamba nchi itasherehekea miaka 50 ya uhuru.

  Kwa makelele yote haya inaashiria kuwa watu hawajui au hawana uhakika kama nchi iko huru, au la wamesahau na juhudi za makusudi na za ziada zinachukuliwa kuwakumbusha raia waliosahahu kuwa wako huru.

   
Loading...