Hivi R, L na H, ni Ugonjwa wa Taifa?

Una phobia na Kimarekani?

Unaogopa Kiingereza cha America?

Hizi shule zenu za mavi chooni alizowaletea Jiwe zitawatoa mavi!
Huna lolote , America ni kwa waamerika , sio nyie mnaoenda kijilamba huko , kwenu Afrika jivunie uafrika wako .mshamba wewe!.
 
Huna lolote , America ni kwa waamerika , sio nyie mnaoenda kijilamba huko , kwenu Afrika jivunie uafrika wako .mshamba wewe!.

Mwehu wewe!

Kiingereza hujui,Kiswahili hujui!

Lugha yenu ya kabila lako hujui!

Wewe ni mtu au mavi?

Get’outta here!
 
racso kaunda, Nimekaa visiwani zanzibar kwa mda mrefu yapata miaka mitano hivi wale jamaa wapo vizuri kwenye lugha sasa sijajua mana huku kwetu Bara limekuwa tatizo kubwa.


Nilichoweza kunotes ni kwamba kule kwa wenzetu madrasa zinawasahidia sana katik lugha hususani R na L .

Tukija huku kwetu sasa bado ni tatizo nazani wengi wetu tumeathiriwa na lugja zetu za kiasili. Nimetokea kaskazini aisee matumizi la lugha kwenye uandishi na hata uongeaji bado sana

#Mimi pia ni mhanga
 
Ukijiona una mapungufu ya lugha ya Kiswahili jitahidi kusoma vitabu vya waandishi wanaotambulika kwa kazi zao nzuri zilizobeba maudhui kwa lugha ya Kiswahili.

Kama una nia thabiti ya kuhitaji mabadiliko ya kiuandishi utabadilika.
 
Makabila pia yanachangia,mfano wanyamwezi wanatumia sana L kwenye R, utasikia mtu anasema Gali badala ya Gari au Habali badala ya Habari.
Kimatamshi sawa inawezekana ikawa ni tatizo. Lakini kwenye uandishi hapana! Kwani lugha ya uandishi tunafunzwa kwa kanuni za kiuandishi na linarekebishika.

Ukitizama haya yote tunafunzwa katika shule imma ziwe za serikali au za watu binafsi. Katika ngazi ya awali mpaka mtahiniwa anamaliza darasa la 7 na kuendelea.

Napata tabu na ngao wanayojihifadhia nayo. Athari za lugha ya kikabila kwenye uandishi haina nafasi.
 
Mtu akishaandika Kiswahili kibovu huwa namshusha hadhi sana. Namuona dhaifu tu na mtu wa kuja!

Mshamba, goigoi, elimu ndogo, na akili finyu!
 
Huu uzi unamhusu Faiza Foxy mwenyewe.

Hapa nimejaribu kufuatilia wengi waliopata elimu zao za msingi miaka ya 90 kuendelea, wengi wanao huo 'ugonjwa', lakini sielewi kisababishi.

Mtu kama aliungishwa elimu ya msingi, hujivuta hivyohivyo hadi chuo kikuu na akikuandikia mada unabakia kubishi juu ya elimu yake!

Nimesemea elimu ya msingi zaidi ndiyo inawatia ulemavu wa maisha wasipofundwa kuanzia hapo, kwa sababu wengi sana wanarekebishwa humu juu ya matumizi sahihi ya silabi, lakini hawaelimiki ama hawajifunzi chochote.

Ndiyo maana Faiza Foxy huwatandika kwa neno lake maarufu ... 'hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?'...
Hahahaaaaaa... eti huwatandika!

Hata mimi nakubali kabisa kwamba wengi wa watanganyika wamesomea ujinga!

Zile shule zao ni za kupoteza muda tu na kuchapana viboko kama mang'ombe!
 
Wengi wenye kasoro za matamshi na Maandishi wapo kwenye kundi hili

Wamekulia na kusoma mkoa mmoja mpk wanafikia utu uzima wao yani (90% atakwambia nimekulia/soma Dar au Mwanza au Arusha)

Wakati wale perfecto ones wenye maneno yaliyo nyooka asilimia kubwa wapo kwenye kundi hili

Wamekulia na kusoma mikoa tofauti mpk anafikia utu uzima wake,yani ukimuuliza atakwambia mimi 40% nimekulia/somea Dar then 30% KILIMANJARO then 20% TANGA kisha 10% DODOMA

Ukiwa mtu uliezunguka mikoa tofauti lazima utakua na matamshi yaliyo nyooka tofauti na wale waliokulia mkoa mmoja mwanzo mwisho...Kutana na Mchaga pure halafu kutana na Mpogoro au Mluguru Pure wasikilize ongea zao (Utapenda)
 
Tatizo hili sio hapa jf tuu.yaani Wahandishi na watangazaji karibu wote kwenye tv za mitandaoni .wana tatizo hili R na L
Ndo ujue kuwa wenye online tv elimu imewapita mbali, hata mada zao ni za kijinga, hawajui kureport , habari za uongo nyingi. Ni kero
 
Tatizo lingine kubwa ni hili kama lako. Wengi hawajui wapi h au a inatumika. Mfano wewe ulitakiwa kuandika waandishi. Au mwingine hajui tofauti ya HANA na ANA.
Asiyejua tofauti ya Hana na Ana lazima alifeli somo la kiswahili, au hajasoma hata elimu ya msingi. Huwa inaniwia vigumu kuona mtu amefika hadi chuo kikuu lakini hajui kuandika kiswahili fasaha
 
Asiyejua tofauti ya Hana na Ana lazima alifeli somo la kiswahili, au hajasoma hata elimu ya msingi. Huwa inaniwia vigumu kuona mtu amefika hadi chuo kikuu lakini hajui kuandika kiswahili fasaha
Basi JF kuna wengi hawajasoma hata elimu ya msingi.
 
Back
Top Bottom