Hivi Polisi wanaweza kushindwa kuwakamata wahalifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Polisi wanaweza kushindwa kuwakamata wahalifu?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by mmaroroi, Aug 12, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Askari waliohusika kwenye mauaji yaliyomhusisha Zombe hawajakamatwa hadi sasa.Je polisi wameshindwa kuwapata au wanawaficha kwa kuwa ni wenzao?Watakuwa wametoroka nchi au wametoroshwa?
   
 2. l

  lilove Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenyewe ni wahalifu watawakamata wenzao?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Naunga mkono hoja!
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona unafika mbali,sisi kama wananchi tumewahi mkamata mwizi alyeiba gari kwa kumblock na kumwakilisha kituo cha polisi na baada ya wiki tukamwona akipita mitaani.
   
Loading...