Hivi Polisi wa Morogoro ingekuwa CHADEMA wanataka kuandamana Itigi ingetumika intelejensia, lori la mafuta dk 45 mmelala tu

Lakini yako majeshi maalum and well trained kwa shughuli hizo. Shida ni uzembe tu. Kama ni kweli muda wa dk 45 ulitosha kabisa kuzuia ajali hii. Fikiria raia walivyojaa pale utadhani wako sokoni, hivi polisi hawakuistukia ile hali? Hilo eneo ni karibu na stend pana usalama barabarani muda wote wapo. Hawakuuona uelekeo wa watu wakikimbilia huko? Ina maana raia wanaona matukio zaidi ya askari wetu?
Ninachojua mimi, askari popote alipo na wakati wowote anapaswa kuwa na macho na masikio mara mbili ya raia wa kawaida. Ndo maana wanaitwa wanausalama.
Ni wazembe, wapenda ngono, umbea wa kufuatilia vitu vidogovidogo na kudai rushwa, siyo wabunifu na hawajitumi. Kwa kifupi polisi Tanzania ni mzigo.
Unless kama kituo cha polisi cha msamvu kipo na kinafanya kazi huo utaitwa uzembe...
Na kama hakuna basi hata ndani stendi mpya ama anywhere around Msamvu wangeweka kituo cha polisi
Ila kama ndio watoke mjini na traffic/songamano barabarani sintawalaumu..
All in all we are getting better everytime hasa baada ya challenges kama hizi....
 
Ule ushenzi wa wanaccm kuvaa sare kwenye mambo ya kitaifa nadhani leo umejionea mwenyewe. Hizo ndio tunaita siasa za kipuuzi.
Bro uko lonely sana... You sound suicidal
Unatumia msiba kujiongelesha kujifariji?
I can assume uko nje ambako social life ni shida..
Rudi bongo kumenoga..
Acha kujiongelesha ovyo tuna msiba mzito
 
Kuna popote umewaona cdm wakilazimisha uwepo wao kwenye huu msiba ufahamike? Hizo siasa za kishenzi zinafanywa na watu wenye mawazo ya kizee wanaolazimisha kukabalika.
Tumia brain kidogo uone nili comment kwa nani na aliandika nini ikiwamo kutaja chadema kwenye comment yake..
Stop pushing for unnecessary attention.. .. Angalia porno kama uko depressed
 
Bro uko lonely sana... You sound suicidal
Unatumia msiba kujiongelesha kujifariji?
I can assume uko nje ambako social life ni shida..
Rudi bongo kumenoga..
Acha kujiongelesha ovyo tuna msiba mzito

Niko hapa hapa Dar nimejaa tele.
 


Kwa maneno haya ya PM Majaliwa wafuatao piga chini:
  1. Kangi Lugola-Mambo ya Ndani!
  2. IGP Ziro.​
  3. RPC Morogoro​
  4. RTO Morogoro​
  5. Kamanda Zimamoto Morogoro​
Nimeskia IGP Ziro akisema ati atahakikisha wote waliohuska na kuchota mafuta watasakwa na kukamatwa iwe fundisho……!Ebho! Yaani Ziro haoni UZEMBE&UDHAIFU wa majeshi yake ya POLISI,TRAFFIC na ZIMWIMOTO!
Ingelkuwa ni maandamano ya CHADEMA saa izi tungelshuhudia Viongozi,Wabunge na Wanachama wote:kina Mbowe,Msigwa,Mdee,Mnyika n.k wako ndani hata kama hawakuwepo Morogoro!
RIP Watanzania Maskini!
 
Maandamano yana taarifa kuwa siku fulani yatatokea ndio maana ni rahisi polisi kujiandaa ila ni lini na wapi uliwahi kuona ajali ina taarifa kuwa itatokea? Acheni kutafuta wa kumtupia lawama huku mkijiua kabisa walioathirika na tukio ndio walikuwa wazembe na wajinga kama sio wapumbavu. Unafanya mchezo na maisha yako mwenyewe kwa kutegemea polisi atakuja kukuokoa. Ni upuuzi wa hali ya juu.
vile vikao vya ndani mbona wapinzani hawatoi taarifa na cha ajabu ghafla utasikia wamezingirwa na jeshi la polisi,kwahiyo kwa wapinzani pua zao zinanusa sana kwa majanga kama haya yanamakamasi isitoshe pale ni stendi kuna polisi trafik wengi pale msamvu na kituo cha polisi kipo mita chache,polisi wa nchi hii wamenyweshwa supu ya kijani wenyewe wako bize kulinda ccm na malizao na siyo raia na malizao
 
Picha za video zipo.Wanaochota mafuta wanaonekana wazi.Polisi iwakamate iwashitaki kwa makosa yafuatayo la kwanza la wizi wa mafuta la pili.kosa la mauaji kwa kuwasha Moto ulioua watu na la kusababisha uharibifu wa Mali kwa kuteketeza Lori na Mali zingine.Wakidakwa na kufunguliwa mashtaka tabia ya kupora gari zinazopata ajali zitapungua
kumbe wachota mafuta hawakuungua na moto sijaelewa au ni zile maiti unazungumzia, na malizia na swali hivi lori lilibeba petroli au dizeli? nasikia kamanda akisema wamekamata lita 250 za diseli,au wameamua kupiga tu ambush kwa hasira
 
Maandamano yana taarifa kuwa siku fulani yatatokea ndio maana ni rahisi polisi kujiandaa ila ni lini na wapi uliwahi kuona ajali ina taarifa kuwa itatokea? Acheni kutafuta wa kumtupia lawama huku mkijiua kabisa walioathirika na tukio ndio walikuwa wazembe na wajinga kama sio wapumbavu. Unafanya mchezo na maisha yako mwenyewe kwa kutegemea polisi atakuja kukuokoa. Ni upuuzi wa hali ya juu.
Acha kuongea pumba wewe,ulimsikia mh.rais jana alivyokua anaongea?pale kuna wapita njia wengi tu wameungua,kuna walikua wamekuja kutoa msaada nao wameungua,kuna wafanya biashara mama ntilie,mafundi pikipiki,sio kila bandiko una comment,watu wana huzuni kupoteza ndugu zao wewe unaongea pumba....wakati mwingine kaa kimya kuficha upumbavu usionekane.
 
Hakuna haja wa kuwalaumu polisi katika hili mwaka 2009 nadhani lory la mafuta lilivyodondoka singida mapolisi wawili waliuliwa na wananchi kutokana na polisi kwenda pale kuzuia mafuta kuibiwa yaani walizidiwa nguvu na wananchi

Kuna muda sisi wananchi huwa tuna mambo ya kipumbavu sana

Wewe ndio mpumbavu tena sana!
Kila mwenye akili akikusoma anaweza kubaini mambo 2: Aidha ww ni Policcm unataka kuficha UZEMBE uliotokea kwene ajali hii AU Kigogo wa CCM unayejitahidi kuficha UDHAIFU wa Magufuli na Serkali yake....Period!
 
Wewe ndio mpumbavu tena sana!
Kila mwenye akili akikusoma anaweza kubaini mambo 2: Aidha ww ni Policcm unataka kuficha UZEMBE uliotokea kwene ajali hii AU Kigogo wa CCM unayejitahidi kuficha UDHAIFU wa Magufuli na Serkali yake....Period!
Hahahha basi sawa mkuu
 
Back
Top Bottom