Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 126
- 250
Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote wako hivyo au nn shida..!!
Wana JF hebu nipeni taarifa fupi background kdg ya pisi za aina hii ,Nizielewe vzr , Nipeni Experience zenu juu yao...
meshack allyson
Wana JF hebu nipeni taarifa fupi background kdg ya pisi za aina hii ,Nizielewe vzr , Nipeni Experience zenu juu yao...
meshack allyson