Hivi phone rooting ndo nini?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
jaman waungwana wanaojua hizi mambo, kuna kitu nimekutana nacho kinaitwa rooting hasa kwa watumiaji wa os ya android. nimesoma kwamba uki root simu the phone can do what it couldnt do mfano some application can functionin the phone that used not to function. lakini sijaelewa what does it real mean.
 
Umeshawahi kutumia Linux OS japo kidogo tu? Kwenye Linux, kuna aina mbili ya watumiaji, Superuser (Root) na normal user. Android technology basically ni linux, so tunaposema phone rooting, tunamaana kuwa inakuwezesha wewe mtumiaji kuwa super user. Na unapokuwa Super user una uwezo wa kufanya vitu vingi zaidi tofauti na normal user. Mfano; ma file mengi unaweza kuyakuta yana read-only access, lakini ukiwa root unakuwa na uwezo wa kuya modify (read + write).
Nafkiri nimekusaidia kuelewa kwa kiasi flani.
 
cjawai tumia linux, lakini thanks walau nimepata idea kaka tnx
 
Sniper i‘m interested with the read & write function maana then mtu unaweza ukaedit documents hata kwenye simu.

Waweza toa mwangaza zaidi kwenye hilo?!
Je ukiroot kuna hasara yoyote au ni faida tu?!


Najua naweza kugoogle ila naomba unigawie utaalam wako kwanza!
 
faida kubwa sana ya kuroot kwenye android ni kwa ajili ya kuinstall custom ROM kama CM7 etc,ambazo zipo stable,faster na zina some added neat features tofauti na stock OS,na nyngne ni kama mdau alivosema hapo juu unapata access ya mafile ambyo hukuweza hata kuyaona na kwa kupata superuser,pia unaweza ukaoverclock cm yako/kifaa chako chochote cha android kwa kuroot kifaa chako.
 
Back
Top Bottom