Hivi pesa za mirathi mahakama inatakiwa kuwapa wahusika baada ya muda gani?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,583
Mh. Mwakyembe heshima kwako Dk,

Leo naomba niulize hili swala, maana ukiona watoto wadogo na mama zao wanavyoteseka na pesa za mirathi, ukirudi bank wanakwambia tushapeleka cheque mahakamani. Miezi inapita sasa kwa msaada wafiwa wengine watarajiwa embu muweke sawa iwasaidie hilo jambo.

Ni bora wakijua zitachukua muda kadhaa ila unapoambiwa ziko kwenye process na hazifiki.

Ni vyema wakati huu wa Rais Magufuli watu wajue rights zao na wakizungushwa sana waelekee wapi.
 
Kiukweli Hizo Pesa Zilizokua Benk Tulipata Baada Ya Miaka Mitatu Na Zilizokua Pspf Tulipata Baada Ya Kufatilia Kila Siku Isipokua Jumamos Na Jumapili Kwa Miez Sita.Inabidi Usichoke.Akikwambia Bado We Kesho Unakuja Tena,hakikisha Unakua Kero Mwisho Watakupa Chako
 
Back
Top Bottom