Hivi pesa huwa inachagua kwenda kwa watu wa aina gani, watu wa aina yangu haijawahi kuja kwangu

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
money.jpg
 
Kama picha imelenga mada nikukosoe kidogo.huyo mwamba ni kama hamorapa hapa bongo alivyosumbua insta,while kitaa hayuko hivyo.

Hela haina destination special,ni kama utaamua kuitafuta kwa namna yoyote itakuja,kama wafanyavyo wengine.
 
Mimi sio wa aina yako, kuna mida pesa inakuja nyingi balaa.... ila haikai sana inasepa.
 
Huyo hana hela mr kiki ni mghana amepewa promo tu na wanaigeria hasa account ya tundeednut insta acvount maarufu kwa wanigeria habali za mitandaoni so usijichukie jomba sawa na harmorapa wanamwita shattabandle unateseka na mavitu ya mitandaoni
 
Kuna watu mapambano yao ya kutafuta pesa ni makubwa sana...lkn pesa wanayoipata ni haiendani na juhudi.
 
Back
Top Bottom