Hivi pedi za kina mama ni tatizo kwa nchi yetu?

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
4,577
2,958
Hili suala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
 
Hili swala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
Ni Wanaharakati wa masuala ya wanawake ndiyo wanashadidia hiyo kampeni kana kwamba ni tatizo wakati si tatizo kwani kila mwanamke kwa asili anajua kujisitiri na hali ya kuwa na hedhi. Pedi ni mtindo wa maisha tu
 
Kama una ishi kwa baba na mama unaitwa njoo ule uwezi kuelewa madhira ya kina Dada na mama masikini wanayo kumbana nayo pedi utunza utu wa mwanamke kama anatumia tambala hiyo ni hatari inaweza kusababisha kansa ya shingo ya uzazi
 
Tangu zamani wanawake wamekuwa wakijisitiri kwa njia mbalimbali na hatukuona tatizo, wasichana hawakukosa shule
 
Hili suala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
Ni aibu sana kwa mwanaume kama wewe kuzungumzia faragha za wanawake
Huna ujualo kuhusu kero na changamoto wakiwa kwenye siku zao wewe ni kuponda tu,haya waelekeze njia mbadala basi
 
Sitaki kusema ni wapi!!? Ila Kama wiki mbili zimepita nikiwa kitengo napata ujuzi na STAFF hawapo nimeachiwa usukani kaja binti mmoja mrembo hivi umri Kati ya 20-22 nimemkaribisha kwa bashasha nikamuomba akae akagoma kabisa nikashangaa!! Nikiwa naendelea kumpa huduma huku amesimama akaniuliza samahani Kaka hapa naweza pata PEDI, nilijisikia huruma Sana ghafla tu!! Ikabidi nisogee kwa mangi chap nikaomba pedi nikamletea chap.. akasogea uwani kdg
akarejea tena nikaendelea na huduma!!!
 
Ikiwa miaka 50 plus baada ya uhuru bado choo ni tatizo why not hizo pedi?
Miaka 58 baada ya uhuru bado tunapiga kampeni ya nyumba ni choo, pedi kwa wasichana!
Hiyo laptop kwa kila mwanafunzi wa sekondari itafikiwa kweli? Bado tunasafari ndefu sana
 
Miaka 58 baada ya uhuru bado tunapiga kampeni ya nyumba ni choo, pedi kwa wasichana!
Hiyo laptop kwa kila mwanafunzi wa sekondari itafikiwa kweli? Bado tunasafari ndefu sana

Hauna aidia yoyote na unachoongea mkuu...bora ungekuja kwa namna ya kujuzwa zaidi,au ungetumia busara kukaa kimya,vitu vingine sio rahisi kama unavovichukulia
 
Mwanamayu kwa kiswahili ni mwanamama. Naomba kukuuliza wewe jinsia gani?nisije jibu vitu ambavyo wababa hamtakiwi kufahamu
Hizo familia masikini hazina wamama, kama sio shida kwa wamama? Hao wamama wa hizo familia masikini wanakabiliana vipi na issue hii?
 
Duh! Shule zinapaswa kugawa pedi kwa wanafunzi?
Umenena vyema kabisa ndani ya hilo swali lako.
Nikinunua kila kitu nalipa kodi, mfano, gari; mshahara wangu unakatwa kodi, gratuity yangu inakatwa kodi kubwa tu.
TASAF si ndio wanaosaidia familia/ kaya masikini hapa nchini, je, hili sio tatizo kubwa kwao la kutatuliwa?
 
Mwanamayu kwa kiswahili ni mwanamama. Naomba kukuuliza wewe jinsia gani?nisije jibu vitu ambavyo wababa hamtakiwi kufahamu
Mwanaume. Rejea hiyo translation kwa kuwauliza wasukuma au wanyamwezi halisia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom