pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,644
- 3,018
Hili suala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
Aisee bado tuna safari ndefu
Ni Wanaharakati wa masuala ya wanawake ndiyo wanashadidia hiyo kampeni kana kwamba ni tatizo wakati si tatizo kwani kila mwanamke kwa asili anajua kujisitiri na hali ya kuwa na hedhi. Pedi ni mtindo wa maisha tuHili swala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
Kama una ishi kwa baba na mama unaitwa njoo ule uwezi kuelewa madhira ya kina Dada na mama masikini wanayo kumbana nayo pedi utunza utu wa mwanamke kama anatumia tambala hiyo ni hatari inaweza kusababisha kansa ya shingo ya uzazi
Ni aibu sana kwa mwanaume kama wewe kuzungumzia faragha za wanawakeHili suala naona linapigiwa kampeni sana kama vile tatizo kubwa sana nchini. Mara wasichana hawaendi shule kisa kukosa pedi.
Aisee bado tuna safari ndefu
Miaka 58 baada ya uhuru bado tunapiga kampeni ya nyumba ni choo, pedi kwa wasichana!Ikiwa miaka 50 plus baada ya uhuru bado choo ni tatizo why not hizo pedi?
Tangu zamani wanawake wamekuwa wakijisitiri kwa njia mbalimbali na hatukuona tatizo, wasichana hawakukosa shule
Hizo familia masikini hazina wamama, kama sio shida kwa wamama? Hao wamama wa hizo familia masikini wanakabiliana vipi na issue hii?Sio tatizo kwa akina mama bali mabinti wanaotokea familia maskini
Miaka 58 baada ya uhuru bado tunapiga kampeni ya nyumba ni choo, pedi kwa wasichana!
Hiyo laptop kwa kila mwanafunzi wa sekondari itafikiwa kweli? Bado tunasafari ndefu sana
Kwa kulipa kodi pale TRA nimekwishachangia kila jambo likiwemo mtoto kwenda shule. Kama watu wanazila hiyo ni juu yao wapiga kura na viongozi.Changia pedi mtoto aende shule
Duh! Shule zinapaswa kugawa pedi kwa wanafunzi?Kwa kulipa kodi pale TRA nimekwishachangia kila jambo likiwemo mtoto kwenda shule. Kama watu wanazila hiyo ni juu yao wapiga kura na viongozi.
Hizo familia masikini hazina wamama, kama sio shida kwa wamama? Hao wamama wa hizo familia masikini wanakabiliana vipi na issue hii?
Umenena vyema kabisa ndani ya hilo swali lako.Duh! Shule zinapaswa kugawa pedi kwa wanafunzi?
Mwanaume. Rejea hiyo translation kwa kuwauliza wasukuma au wanyamwezi halisia.Mwanamayu kwa kiswahili ni mwanamama. Naomba kukuuliza wewe jinsia gani?nisije jibu vitu ambavyo wababa hamtakiwi kufahamu