Hivi pedi za kina mama ni tatizo kwa nchi yetu?

Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
20,387
2,000
Umenena vyema kabisa ndani ya hilo swali lako.
Nikinunua kila kitu nalipa kodi, mfano, gari; mshahara wangu unakatwa kodi, gratuity yangu inakatwa kodi kubwa tu.
TASAF si ndio wanaosaidia familia/ kaya masikini hapa nchini, je, hili sio tatizo kubwa kwao la kutatuliwa?
Sidhani Kama wanatoa msaada wa pedi. Kumbuka hedhi ni jambo endelevu linalotokea kila mwezi. Sidhani km wanaweza kuhudumia kila mtoto maskini kila mwezi. Wanachofanya East Africa radio/TV ni kumsaidia mtoto wa kike aweze kupata pedi kila mwezi asikose kwenda shule. Bei ya pedi ni 2000 mpk 3000. Sio kila familia zina huo uwezo.
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,727

Nafikiri tukienda kwenye chimbuko la tatizo hili na mengine mengi yanayofanana na hili ni kuwa serikali yetu imefeli. Kwa maneno mengine, hiki ni kiashiria cha tatizo kubwa. Kwa serikali ninamaanisha mfumo mzima wa kuendesha nchi yetu. Kwa kifupi watanzania mpaka dakika hii tumefeli, swali ni kuwa wapi tunakosea? Majibu ya swali hili yanahitaji mjadala mkubwa wa kitaifa mithili ya retreat. Na mjadala huo uendane na tafiti zilizokuwa bora haswa- zenye sifa za kuchapishwa kwenye majarida yenye hadhi ya kisomi kimataifa (international peer reviewed scholarly journals).
 
J.wawatu

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
245
500
Sidhani Kama wanatoa msaada wa pedi. Kumbuka hedhi ni jambo endelevu linalotokea kila mwezi. Sidhani km wanaweza kuhudumia kila mtoto maskini kila mwezi. Wanachofanya East Africa radio/TV ni kumsaidia mtoto wa kike aweze kupata pedi kila mwezi asikose kwenda shule. Bei ya pedi ni 2000 mpk 3000. Sio kila familia zina huo uwezo.
Hiyo bei ni ya reja reja, wananunua kwa jumla sifikiri kama inazidi buku na mia mbili ila wacha wasaidiwe! kwani pia ni kukuza viwanda!
 
Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
20,387
2,000
Hiyo bei ni ya reja reja, wananunua kwa jumla sifikiri kama inazidi buku na mia mbili ila wacha wasaidiwe! kwani pia ni kukuza viwanda!
Mtu binafsi wengi hawawezi kununua kwa jumla. Hiyo ya rejareja inamshinda jumla ataweza wapi?
Kiukweli wanahitaji kusaidiwa.
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,772
2,000
wakina dada mliofanikiwa kumbukeni mlipotoka kwa kusaidia wenzenu.
Unasemaje!

Hawa tunaowaona hawaaaa yaani afanikiwe kwa kudanga alafu amsaidie mwanamke mwenzake subutu nao wakadange wapata hela ya pedi.

Kiufupi wanawake hawapendani kabisa yaani hili swala wanalalamika lakini hawajui nani awasaidie ikawa wao kidogo hawataki kuwasaidia wenzao
 
Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,330
2,000
Sitaki kusema ni wapi!!? Ila Kama wiki mbili zimepita nikiwa kitengo napata ujuzi na STAFF hawapo nimeachiwa usukani kaja binti mmoja mrembo hivi umri Kati ya 20-22 nimemkaribisha kwa bashasha nikamuomba akae akagoma kabisa nikashangaa!! Nikiwa naendelea kumpa huduma huku amesimama akaniuliza samahani Kaka hapa naweza pata PEDI, nilijisikia huruma Sana ghafla tu!! Ikabidi nisogee kwa mangi chap nikaomba pedi nikamletea chap.. akasogea uwani kdg
akarejea tena nikaendelea na huduma!!!
Stori mbona kama haijaisha
 
Beef Lasagna

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
16,581
2,000
Kama una ishi kwa baba na mama unaitwa njoo ule uwezi kuelewa madhira ya kina Dada na mama masikini wanayo kumbana nayo pedi utunza utu wa mwanamke kama anatumia tambala hiyo ni hatari inaweza kusababisha kansa ya shingo ya uzazi
Nimetumia hayo madaso na rede nilikuwa nacheza na sikuwahi kutega kwa ajili ya hiyo hao ni wapiga dili km wengine mradi tonge liende kinywani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom