Hivi nyumba ndogo zitasalimika kama wikileaks wakiweka hadharani mahusiano yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nyumba ndogo zitasalimika kama wikileaks wakiweka hadharani mahusiano yetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lokissa, Jan 11, 2011.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Tuesday, January 11, 2011 ~ Copyright: Michuzi , Maoni: 1
  MAMBO YA GADO  nani atasalimika hapa manake kila kona watu wanamiliki simu zaidi a moja,nyumba ndogo za kumwaga, cheating nyingi tu,nk nk nk, [​IMG]
   
 2. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hahahahah!!

  You help me finish this day with a deep laughter. Aisee mbona itakuwa balaa.

  But at least wata-save nyumba kubwa. I wish iwe tuone mtifuano hasa kwa wale ma-infidelitors na ma-infidelitees
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,112
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa the wikileaks imeleta mambo, kuna kipindi channel e ya south africa kinaitwa Cheaters...ni kikali sijapata ona, yaani kama unahisi mwenzio ana mahusiano nje unawaendea jamaa then unawapa kiasi wanafuatilia ishu nzima hadi wa confirm then wanakuchukua ukafumanie live
   
 4. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  :smile-big:
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Itakuwa kilio kwa kweli,nafikiri dunia iishe tu hiyo wikileaks ikiwa inatoa hizo siri...........manake kujua maovu ya wale tuwapendao na wanaofanya nao,pengine dada yako na mumeo.mmmmmmmmmmmh nafikiri sitaki kuiona hiyo siku.............LOl
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  We weeee ikija si ndio kwishney! lazima mtu aundiwe tume hapo!
   
 7. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Duh, hapa Gado nimemvulia kofia. This one is funny indeed!!!
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Cheaters ni kipindi kikali, ila si cha South Afrika. Nadhani hata hiyo channel E siyo ya South Africa. Ni kama tunavyoangalia Isidingo hapa Bongo. I stand to be corrected.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,535
  Likes Received: 81,967
  Trophy Points: 280
  Ni cha Marekani kilikuwa na washabiki wengi sana. Kipindi kile Mhhhh! we acha tu
  YouTube - Cheaters: Pablo Dominguez
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hata Kenya kuna kipindi hicho kwenye radio moja sijui inaitwa Maisha (Sina hakika sana na jina)

  Ila unachofanya kama jamaa anakucheat unaenda pale unawaelezea wao wanatunga story halafu

  wanamrusha jamaa live kunakuwa na msichana anatumiwa anaongea na jamaa wakishafikia

  muafaka Maza hausi ndo unaingia huwa ni balaa!! Kuna moja niliwahi sikiliza jamaa kakana eti hana mke anataka

  kudate na huyo msichana ilikuwa sokomoko ile mbaya,

  nyingine jamaa alikuwa anatafuta mtoto wa kiume akazaa nje akabisha wakamtungia story ya

  ofisi eti wanataka majina ya beneficiaries wake wa pension jamaa likamtaja mtoto wa kiume ndo mrithi

  na ni wa nje wakati home linakataa jamani huwa ni so hicho kipindi,

  kuna nyingine bosi na secretary wake jamaa home anabisha wakaunda story maza hausi kampigia huyo

  je unamahusiano na fulani msichana kagoma tena kwa nguvu zote

  maza hausi kasema kuwa mie ni mke wa fulani na tunaishi na HIV/AIDS na tunatumia ARV

  hivyo nakushauri uachane na huyo msichana kajikuta anasema my God nimekwisha ikabidi aseme

  kila kitu kuwa uwiiii nimekwisha sijawahi tumia condom hii radio ni balaa acheni watu wanaumbukaga humo
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahaha
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,112
  Trophy Points: 280
  Ok, nimekuelewa yawezekana pia but unaonaje kama kipindi kile kikaja hapa bongo? nadhani hata kiranja mkuu hatasalimika
   
 13. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hahaha nimecheka lol. Hii ya HIV kuna mdada alinihic namchukulia mmewe akaanza kunitisha shauri yako 2naishi kwa ma2maini nikamjibu lo afadhali kwani nilihic naua m2 asie na hatia kumbe hata ye anao, mi ninao mwaka wa tatu sasa na ningewashauri mje kwenye clinic ninayoatend mimi kwani inajali sana waathirika kuliko zote. We aliwehukaje
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Matyyyyyyyyyyyyyyyyyy, unatisha wewe.
  Hiyo kali sana unajua.
   
 15. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  maty una vituko ww! Imagine dada wa watu angezimia kwa shock!
   
 16. M

  Mkare JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah, nakipata. Kinahusika sana... jicho lazima likutoke
   
 17. M

  Mkare JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha.... unatisha shosti!
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  channel E ziko nyingi mojawapo ni ya south africa ina symbol ya e ndogo imezungushiwa boksi jekundu kwa wale wanaongalia UEFA kupitia channel ten watakuwa washaifahamu, ingine ina symbol ya E kubwa ambayo ni ya marekani kwa wale wenye vingamuzi vya dstv nk kwa hivo wote mko sawa.
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ukimjua sana bata humli wacha na nisijue ivi ukajua na huo mshtuko ukakuondoa duniani kipi bora ya sirini yakae humo sitaki kuyafatilia
   
Loading...