Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

Hivi DMV ni wapi? na nini kirefu chake? je DMV sio kwa obama?? au kwa obama ni wapi?

..DMV maana yake ni Washington DC, Maryland, na Virginia.

..Obama anafanya kazi, na kuishi, Washington DC.

..kwa ufahamu wangu ni kwamba majimbo ya Maryland na Virginia yalichangia ardhi kwa ajili ya kujengwa mji mkuu wa USA. sasa eneo hilo walilochangia ndiyo lilikuja kuitwa Washington District of Columbia.

..Washington DC inahusisha eneo lenye ofisi za serikali, taasisi mbalimbali za kimataifa, mashirika binafsi, pamoja na eneo la makaazi.
 
Alafu hao ndio wenye "exposure" ........... mwananchi wa Kitendaguro huko si ndio atalamba viatu kabisa ........

zamani niliamini kuwa CCM huwa wanaiba kura, lakini kwa haya mambo yanayotokea, naanza kuwa na shaka usikute kuna watanzania wengi tu wanawapa kura.
 
Umesema point ya maana sana, haijalishi uko wapi, ushabiki ni mdudu mbaya, unakufanya sense za uzalendo zipotee.

Mimi namlaani Balozi Mula Mula, kwa kukosa direction na vision ya maana ya ubalozi wetu huko USA. Siku zote yuko kwenye blog za "kidaku" kama vijimambo, DMV DMV,DMV. Watanzania wametawanyika kila kona ya US, kufanya DMV kama ndio wawakilishi wa Wtz wanaoishi US ni uharamia. Kazi ya Balozi wa nchi ni kuiwakilisha nchi yake kwenye nchi za nje, lakini inaelekea Mula mula anawakilisha watz wa DMV kwa nchi yao ya Tanzania, lol.

Halafu JK hana kazi hadi akapoteza muda kuongea na Wtz wa DMV? Kila mwanasiasa akienda US anawatafuta hao washabiki wa CCM DMV, wanamuingiza na balozi huko, wanaanza kupiga siasa. Mwigulu alienda mwaka jana, JK Membe, the list is long. Kuna tija gani? Mkutano wa juzi, umeleta tija gani, nilidhani JK angetoa direction nini wabongo wa us wafanye ili issue ya uraia pacha iingizwe kwenye katiba ya sasa au inayotungwa, kawaacha njia panda, kuwa wajenge hoja? Is this thing bado ipo kwenye stage ya kujengewa hoja bado?, si hoja zilishajengwa na uongozi wake ukabariki, au nilikuwa simuelewi Membe alivyokuwa analiongelea hilo swala sometimes back akiwa London? Sasa kama bado lipo kwenye kujengewa hoja, si angetoa forum ya kujengea hiyo hoja? au anataka kutumia tawi la ccm dmv?

Swala lingine hili la uraia pacha, JK kawananga kiaina wana DMV, kuwa waache kupoteza muda kujadili nani kavaa nguo fupi kwenye mitandao ya kijamii bali,watumie muda wao wajenge hoja ya uraia pacha. Sasa mimi najiuliza, wajenge hojahoja gani? Labda kama alikuwa anamaanisha kulobby,kutoa rushwa etc. Mimi nilidhani nchi na uongozi wake una interest na uraia pacha, na ndio maana wanazungumzia sana DIASPORA, NHC, PPF, NSSF kutwa kucha wanapishana US kutafuta watanzania waje kuwekeza hapa nyumbani, sasa itakuwaje nchi ina interest na huo uwekezaji, lakini haina interest na uraia wa hao wawekezaji wenyewe?

JK kusema uraia pacha sio interest ya watanzania, including him anD Membe, ni kuwatosa wabongo wanaoishi nje na kukosa umakini kuhusu msimamo wake na watanzania waishio nje. Kwa maneno mengine, Diaspora/DICOTA haina maana kama uraia pacha hauna maana kwenye uongozi wa Muungwana. Yule desk officer pale foreign affairs anayeshughulika na Diaspora aondolewe tu.

Watanzania wanaoshi nje wanaleta fedha nyingi sana nyumbani hapa. Mimi namfahamu mama mmoja watoto wake wako nje, wanatuma fedha mara kwa mara na kujenga majumba. Hizo foreign currency inflows zinaboost uchumi wa JK, it is time JK kuwa na interest na hiyo issue in his heart, yeye na Membe, na waache kuwananga wabongo waishio nje kuwa wanapoteza muda mrefu kujadili mapaja badala ya kujadili uraia pacha-- wajadili nini zaidi, kila kitu kinajulikana, utashi tu wa JK na viongozi wenzake kulifanya jambo hilo lipite kwenye katiba!!! Kwa sababu, ukweli nchi inahitaji hawa watanzania wenzetu warudi kuja kumiliki ardhi na miradi ya kuzalisha uchumi. Wasiwaze sana na kuwa na woga kuwa hawa wenzetu watarudi hapa kuja kuchukua uongozi wa kisiasa, waondoe hilo ombwe na waangalie maslahi mapana ya taifa letu.
 
EMT darasa lako nimelielewa, anayeshangazwa na uwendawazimu huu kwanza anipe ushahidi kama wakenya na Waganda nao wana matawi ya vyama vya siasa huko kwa Obama.
 
Last edited by a moderator:
Nyani asante kwa kupost hii kitu hapa, I swear to god nilipoiona mara ya kwanza kwa Michuzi nilishindwa kuimaliza! I was cringing! Yani haya mambo ya kijijini kabisa bado watu wanayo huko US! Kujishebedua huku hata Dar hakuna ndo maana unaona hata JK mwenyewe anaonekana kushtuka, not sure kama huyo dada fuse zote ziko sawa.
 
Kwani nani kachukua uraia wa Marekani?

Halafu kwa nini ufikiri hivyo? Kwani mtu akichukua uraia wa Marekani ndo anakata mizizi yote ya origin yake?

Hizo fikra wewe umezitoa wapi Bossman?

Well tunatofautiana...mimi siku nikiona hii nchi imenishinda kabisa
nita ignore everything completely ....sita taka kujua lolote about Tz...
mfano kama mimi ningekuwa nimehamia Marekani na kuchukua uraia..
nisinge eenda mikutano yoyote ya Wa tz kujadili anything about Tz...

nimeandika under assumption you are american citizen,,,
 
Hata kama mimi ni raia wa Marekani hiyo haimaanishi kwamba sina kabisa maslahi Tanzania. Ninayo tena mengi tu.

Lakini huwezi kunikuta katika upuuzi kama huo wa hao watu wa DMV au mikusanyiko mingine yoyote ile ya Wabongo.

I stay under the radar and do my thing and I come home twice or three times a year.
 
Umesema point ya maana sana, haijalishi uko wapi, ushabiki ni mdudu mbaya, unakufanya sense za uzalendo zipotee.

Mimi namlaani Balozi Mula Mula, kwa kukosa direction na vision ya maana ya ubalozi wetu huko USA. Siku zote yuko kwenye blog za "kidaku" kama vijimambo, DMV DMV,DMV. Watanzania wametawanyika kila kona ya US, kufanya DMV kama ndio wawakilishi wa Wtz wanaoishi US ni uharamia. Kazi ya Balozi wa nchi ni kuiwakilisha nchi yake kwenye nchi za nje, lakini inaelekea Mula mula anawakilisha watz wa DMV kwa nchi yao ya Tanzania, lol.

Halafu JK hana kazi hadi akapoteza muda kuongea na Wtz wa DMV? Kila mwanasiasa akienda US anawatafuta hao washabiki wa CCM DMV, wanamuingiza na balozi huko, wanaanza kupiga siasa. Mwigulu alienda mwaka jana, JK Membe, the list is long. Kuna tija gani? Mkutano wa juzi, umeleta tija gani, nilidhani JK angetoa direction nini wabongo wa us wafanye ili issue ya uraia pacha iingizwe kwenye katiba ya sasa au inayotungwa, kawaacha njia panda, kuwa wajenge hoja? Is this thing bado ipo kwenye stage ya kujengewa hoja bado?, si hoja zilishajengwa na uongozi wake ukabariki, au nilikuwa simuelewi Membe alivyokuwa analiongelea hilo swala sometimes back akiwa London? Sasa kama bado lipo kwenye kujengewa hoja, si angetoa forum ya kujengea hiyo hoja? au anataka kutumia tawi la ccm dmv?

Swala lingine hili la uraia pacha, JK kawananga kiaina wana DMV, kuwa waache kupoteza muda kujadili nani kavaa nguo fupi kwenye mitandao ya kijamii bali,watumie muda wao wajenge hoja ya uraia pacha. Sasa mimi najiuliza, wajenge hojahoja gani? Labda kama alikuwa anamaanisha kulobby,kutoa rushwa etc. Mimi nilidhani nchi na uongozi wake una interest na uraia pacha, na ndio maana wanazungumzia sana DIASPORA, NHC, PPF, NSSF kutwa kucha wanapishana US kutafuta watanzania waje kuwekeza hapa nyumbani, sasa itakuwaje nchi ina interest na huo uwekezaji, lakini haina interest na uraia wa hao wawekezaji wenyewe?

JK kusema uraia pacha sio interest ya watanzania, including him anD Membe, ni kuwatosa wabongo wanaoishi nje na kukosa umakini kuhusu msimamo wake na watanzania waishio nje. Kwa maneno mengine, Diaspora/DICOTA haina maana kama uraia pacha hauna maana kwenye uongozi wa Muungwana. Yule desk officer pale foreign affairs anayeshughulika na Diaspora aondolewe tu.

Watanzania wanaoshi nje wanaleta fedha nyingi sana nyumbani hapa. Mimi namfahamu mama mmoja watoto wake wako nje, wanatuma fedha mara kwa mara na kujenga majumba. Hizo foreign currency inflows zinaboost uchumi wa JK, it is time JK kuwa na interest na hiyo issue in his heart, yeye na Membe, na waache kuwananga wabongo waishio nje kuwa wanapoteza muda mrefu kujadili mapaja badala ya kujadili uraia pacha-- wajadili nini zaidi, kila kitu kinajulikana, utashi tu wa JK na viongozi wenzake kulifanya jambo hilo lipite kwenye katiba!!! Kwa sababu, ukweli nchi inahitaji hawa watanzania wenzetu warudi kuja kumiliki ardhi na miradi ya kuzalisha uchumi. Wasiwaze sana na kuwa na woga kuwa hawa wenzetu watarudi hapa kuja kuchukua uongozi wa kisiasa, waondoe hilo ombwe na waangalie maslahi mapana ya taifa letu.

Mkuu umemaliza kila kitu. Hata mimi huwa nashangaa sana rais wa nchi anaposema wanaotaka uraia pacha ''eti wajenge hoja''. This is too low... rais anazungumza kama mama wa kijijini bwana. Inaonekana mapigo anayopata kwenye mtandao yanamuumiza sana na kuwafungua watu wengi masikio.. kitu ambacho viaongozi wengi wa kiafrika hawakipendi.
 
hahahahahah...me mwenyewe niliona aibu kwa niaba, they caught me off guard duh!
 
Hata kama mimi ni raia wa Marekani hiyo haimaanishi kwamba sina kabisa maslahi Tanzania. Ninayo tena mengi tu.

Lakini huwezi kunikuta katika upuuzi kama huo wa hao watu wa DMV au mikusanyiko mingine yoyote ile ya Wabongo.

I stay under the radar and do my thing and I come home twice or three times a year.
i THINK IT IS UNFAIR KUGENERALIZE WATANZANIA WOTE WALIO DMV KWA SAMOLE YA WATU MIA, OF WHICH 50% WALIKUA DELEGATE YA MHESHIMIWA RAIS MWENYEWE

Kama uliangalia ile video, half of the people inside walikua wametoka nae Tanzania...

Pili, watanzania wengi wenye nafsi zao, walishaacha biashara ya hii community kutokana na muendelezo wa drama zisizo ha maana

My advice... jaribu kuwa fair kwa wale wasioenekeza majitaka, wako wengi tu hapo DMV
 
Enzi za Hayati Mwalimu: kulikuwa kuna usemi " Zidumu fikra za Mwenyekiti ", Uoga umetutawala sana.
 
Hii video nimei forward kwa rafiki yangu moja kutoka Kenya...laiti ningejua toka awali response yake ingekuwaje baada ya kuitazama! I guess am gonna have to lie low and do some zero grazing for sometime!
 
Hebu oneni huu upuuzi wa hii mijitu ya DMV.

I mean, what the hell is this? See it for yourself folks.

Eti baba baba.....man STFU! Mnakera sana nyie mijitu.

aisee kumbe kuishi marekani hakumfuti mtu ujinga.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom