Hivi nyie wanawake mnaotoa namba za simu za wanaume wenu badala ya namba zenu mawaza nini?

Mwanamke nikikutaba naye mara ya kwanza na siku hiyo hiyo nikala mzigo, hao siwaachi kirahisi. Wale wasumbufu nakipiga huenda ikawa ndiyo kuagana.
Akikupenda haijalishi kama ndiyo first time. Angalia response yake na jinsi anavyojituma.

Demu kutoa namba ya jamaa yake, itakuwa kumwona huyo jamaa ni fala sana.
Me nimemuacha japo alinip mzigo the first day
 
Yaani kwa mfano wako huu huwa ndo naotumia kuwapasha wamura kuwa umumura aka mwanaume ana nguvu ,akili,ujasiri na uwezo Wa kufanikiwa kimaisha. Angalia anavyosotea vitu visivyo na mana yeyote kwa maisha yake hata akiwa mzee hawezi simulia wajukuu haya mafanikio. Ila kusotea kazi kidogo tu hawezi.

Pia ukiwa na morale huu huu katika kazi kesho unakuwa bilionea unasaidia jamii yako mkuu.

Yani kwa spidi na akili hiyo hiyo ama mbiny za kupata mademu hata pesa ni ivyo ivyo. Ila cha ajabu MTU mchongo Wa kazi anataka connection ila Wa k anatumia akili zake
Umejuaje mtoa Uzi kuwa hana connection na pesa? Umejuaje kuwa hana kazi ya maana au unataka had awe kama billgate?

Acha wivu mkuu nyie ndiyo huwa mnalogwa mabusha unahangaika nalo sababu ya kufatilia maisha ya watu.
 
Umejuaje mtoa Uzi kuwa hana connection na pesa? Umejuaje kuwa hana kazi ya maana au unataka had awe kama billgate?

Acha wivu mkuu nyie ndiyo huwa mnalogwa mabusha unahangaika nalo sababu ya kufatilia maisha ya watu.
Kweli mkuu hao ndy wanga wenyewe...
 
Back
Top Bottom