Hivi nyie stanbic bank mbona cwaelewi???

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Kiu yangu kubwa ya kujiunga na hii bank ilikuwa ni kupata mkopo, yapata zaidi ya miezi sita sasa toka wamesitisha huduma yao ya mikopo, service fees yao ya kila mwezi ni kubwa ile mbaya, kila nikienda kuwauliza kuhusu huduma yao ya mikopo itaendelea lini wamekuwa watu wakunipa sound tuuuu, kabla cjachukua maamuzi magumu ya kuhama hiyo bank mwenye detais zao kama watatoa huo mpunga au ndo hakunaga tena??
 
Back
Top Bottom