Hivi nyie mnaowasiliana na wapenzi wenu kila dakika huwa mnaongea nini zaidi?

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,809
2,000
Mimi waga namjulia hali kaamkaje asubuhi?then namchek mchana maisha yanaendeleaje alaf hadi usiku ndo tunaongea muda mrefu,hadi kesho ake tena ndo morning,, lakini waga namcheki mala nyingi kama anaumwa kujua anaendeleaje?
 

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
1,243
2,000
Mm hua tunachat siku nzima ila suala la kupiga simu ndo mm nakua mvivu sabab mda wote tunachat halafu nikupigie na simu juu

Kwa kwel suala Hilo kila siku napewa malalamiko
 

Misako

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
1,157
2,000
Mwanzoni mawasiliano huwa kwa kiwango Cha juu sana hususani kipindi hiki Cha digital, ila baada ya muda huwa kawaida sana..Mambo ya kuulizana unafanya nn, nimeimic, umevaaje,huko ni kukosa kazi😂😂,
Mi nadhani asubuh mchana na jion inatosha..cyo kuongea Mambo ya uchumi wa Kati Kila time.🤣🤣🤣🤣🤣
 

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,034
2,000
Kweli hata mimi ni Ngumu. Asubuhi umeamkaje? Uko poa poa Haya kazi njema take care imetosha hadi usiku tena kazi zikiendaje poa, pole kwa uchovu usali na usiku mwema. Ndo daily routine mambo sijui umekunywa uji, uko wapi na nani? Hujanmic aaaagh hata mimi sipendi bana
Daah aisee hivi mm siwezi nipo busy sana lakini haipiti SAA moja sijaongea na jamaa aisee ntaumwa na yeye vivyo hivyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom