Hivi nyie mnaowasiliana na wapenzi wenu kila dakika huwa mnaongea nini zaidi?

Ni con
Pumba
Umekula ...Nimebanwa na mkojo alafu kazi zimekuwa nyingi
Wametuma hela ya project nipo Tpb hapa natoa
Ukwapi
Kimya
Uko na mwanamke mwingine
Nilikuwa nakusalimia
Nilikuwa...nilikuwa
Ni convo ambazo unaweza kuona nonsense ila ndio mapenzi yenyewe inabidi tuelewe mzizi wenu mapenzi sio Biashara ingekuwa business partner mungekuwa munahakikisha convo nzito zaumakini ila haya ni mapenzi.
 
Kweli hata mimi ni Ngumu. Asubuhi umeamkaje? Uko poa poa Haya kazi njema take care imetosha hadi usiku tena kazi zikiendaje poa, pole kwa uchovu usali na usiku mwema. Ndo daily routine mambo sijui umekunywa uji, uko wapi na nani? Hujanmic aaaagh hata mimi sipendi bana
Hii ni nzuri
 
Maongezi ni randomly vya kuongea vinakuja baada ya salamu japo unaweza kuona sio maongezi ya msingi ila ndio mapenzi yenyewe hayo nikujuze tu hakunaga kitu chamsingi kwenye mapenzi.

Nikuulize swali unasema humpigii/texf mpenzi wako mpaka labda kuwe na kitu chamsingi hemu taja mfano wa hiko kitu cha msingi.
Anataka kula
 
sasa kuna rafikiyangu mmoja alikua bize na kazi akanambia nichat na mchepuko wake ila maneno ananipa yeye.
ni vituko mimi siwezi

....uko wapi
....umepika nini.
....nije nikulishe
....achama nikulishe
....umelala
...umevaa nini

nilichoka pale aliposema niandike "umevaa nini"
mchepuko akasema rangi
jamaa "mhh siamini hebu tuone"

kama mapenzi ndo yako hivi mimi sijui kitu🤣🤣🤣
 
Kupigana miti kwa jina lingine si ndio kunaitwa kufanya mapenzi? Mnaweza kufanya mapenzi kama hakuna mapenzi?
Mapenzi ni kitu mtambuka kipana ndani yake kuna vitu vingi ila miti(ngono) ni moja ya kitu kilichopo kwenye mapenzi kati ya vingi.

Kama ulisema kuchekiana mpaka muda wa miti hayo si mapenzi ni ngono...mpenzi wako wa kweli nature yenyewe inakusukuma kuwasiliana nae unafeel huru, good hata msongo wa mawazo unakukalia mbali.
 
Mapenzi ni kitu mtambuka kipana ndani yake kuna vitu vingi ila miti(ngono) ni moja ya kitu kilichopo kwenye mapenzi kati ya vingi.

Kama ulisema kuchekiana mpaka muda wa miti hayo si mapenzi ni ngono...mpenzi wako wa kweli nature yenyewe inakusukuma kuwasiliana nae unafeel huru, good hata msongo wa mawazo unakukalia mbali.
Alaa kumbe
Cc Relief Mirzska nimeelewa bwana
 
Kaz kweli kweli unamkuta mwingine anaukuamkia vip mambo! Poapoa vip shwary ..poa kaz njema aya na wew pia imetoka hyo. Has usku mwema cnamuda ya kujadiliana
 
Back
Top Bottom