Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

ndugu yangu jmushi acha uchokozi!, Akikushukia usije kumlilia mode kama jana!
Lol! hivi ilikuwa jana?

Siwezi kumshukia mtu nsiyemwona bana, itanisadia nini?

Ntakuwa kaa napigana na keyboard, ya kaz gani?

Ilikuwa swali tu, unless ni self proclaimed.
 
Siku nyengine unatakiwa kutoa sifa majsusi sio za jumla jumla
Aah Gee alipaswa kujua namzungumzia yeye bana...!

Asante kwa maujanja, siku nyengine reference zitakuwa moja kwa moja kwake! Ila kwa sasa nifikirie...lol!
 
Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.

Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.

ndetichia like this post..
 
Back
Top Bottom