Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Mambo si hayo!.

Bey hapo anaona choyo haelewi kuwa "ukiwa karibu na muuza uturi, utanukia vizuri" tu daima
Choyo na kijiba hasa...lol
Itabidi ukishanukia huo uturi unipake na mimi basi
 
Wewe nilikuona ulivyowapaisha Wasukuma jana, Ngabu atazingatia hilo wakati wa kutoa mkopo...
 
Aah Gee ujue hata hakuona hilo, lakini nashangaa wee kidogo tu tiyari umeondoka na mkopo tena Bila masharti!!
 
Siku nyengine unatakiwa kutoa sifa majsusi sio za jumla jumla
 
Back
Top Bottom