Hivi Noti za mia tano ndo zinapotea tunaletewa Sarafu hizi za mia tano

Kwani ni vigezo gani vinavyoonyesha kuwa thamani ya pesa imeshuka au imepanda?
Mkuu@Young_Master Kwa tendo la Serikali kuleta sarafu inaashiria Thamani ya pesa ya Tanzania imeshuka, na kadri tunavyokwenda itazidi kushuka sio muda mrefu kuanzia sasa kunako mwaka 2015 au baada ya miaka 5 kuanzia sasa pesa ya Tanzania itakuwa haina thamani mimi ninatabiri hivyo.
 
Mara nyingi sarafu huwa zinaonekana hazina thamani katika jamii!! si muda tutashuhudia sarafu ya buku. Eti wanasingiza zipo kwenye mzunguko mkubwa, zinachakaaa mapema, sio kweli hili!!
 
Mkuu@Young_Master Kwa tendo la Serikali kuleta sarafu inaashiria Thamani ya pesa ya Tanzania imeshuka, na kadri tunavyokwenda itazidi kushuka sio muda mrefu kuanzia sasa kunako mwaka 2015 au baada ya miaka 5 kuanzia sasa pesa ya Tanzania itakuwa haina thamani mimi ninatabiri hivyo.

Haya mkuu, tutauona huo utabiri wako kama utatimia.
 
sasa hivi tunapoelekea ni kubaya zaidi tulipotoka kila siku afadhali ya jana.asubuhi unanunua mkate 800 jion unakuta 1000 tuombe Mungu atunusuru na yajayo.Inatisha na inakatisha tamaa
 
.hili pigo kwangu make madobi walikuwa wanafaidi mia, miambili nilizozisahau mifukoni...sasa naona watakuwa wanafaidi jero.......kaazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom