Hivi Noti za mia tano ndo zinapotea tunaletewa Sarafu hizi za mia tano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Noti za mia tano ndo zinapotea tunaletewa Sarafu hizi za mia tano

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  <form rel="async" class="commentable_item autoexpand_mode" method="post" action="http://www.facebook.com/ajax/ufi/modify.php" style="padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; ">Hivi Noti za mia tano ndo zinapotea tunaletewa Sarafu hizi za mia tano. Je hapo thamani ya Pesa imepanda au imeshuka?</form>
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,406
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kero katika kuzibeba kwani wallet zinatoboka na kupotea ni rahisi sana!!! Ila value itakuwa ile ile!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ndio Dalili ya kushuka kwa Thamani ya pesa za Ki Tanzania .Zimbabwe ilianza hivyo hivyo na kongo nayo hivyo baada ya miaka 5 ijayo Shilingi ya Tanzania itakuwa kama pesa ya Zimbabwe. Makaratasi matupu yasiyokuwa na faida ikija kufika kuwa Tanzania kuna noti ya Shillingi Millioni 1 tumekwisha,itakuwa Pesa ya Tanzania kama ya Zimbabwe Makatarasi matupu yasiyokuwa na faida yoyote ndio tunaanza hivyo taratibu.

  [​IMG]
  Makaratasi ya Zimbabwe Pesa ya Zimbabwe Dollar.

  [​IMG]


  [​IMG]
  Zimbabwe Mayai matatu unanunwa kwa Dola Billion Moja . Kasheshe kweli.
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,539
  Likes Received: 1,612
  Trophy Points: 280

  shilingui yetu itakuwa kama ya ZAIRE mda si mrefu. halimbaya. kwa hali hii hata kama kima cha chini itakuwa 500,000/= itakuwa chenga la macho.

  Lakini kwa nini sarafu hiyo ina alama za ajabu?
  1. Inaonesha mwaka 1998, for what
  2. Inataja serengeti, kwani ndo hifadhi mhimu kuliko nyingine?
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Kwa mtazamo na fikira yangu Mi nahisi tunaelekea huko walipo wenzetu tajwa hapo juU kama Zimbabwe!
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,539
  Likes Received: 1,612
  Trophy Points: 280
  mzizi mkavu, we taarifa hizi umezipata wapi? source plz if u dont mind
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Taarifa zipi tena Mkuu? Si unajioneya wewe mwenyewe picha yangu iliyokuwa juu? Au umefumba macho Mkuu? samahani kama nitakukwaza.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,637
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  NTAMAHOLO hii Coin itakuwa ilikuwa ya toleo maalum mwaka 1998 kuhusu Hifadhi ya Serengeti,kama ilivyokuwa Coin ya 50,000/- Iliyotolewa Mwaka 2011 KUSHEHEREKEA MIAKA 50 YA KUTAWALIWA NA WEUSI WENZETU.
   
 9. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 846
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45

  hiyo pesa ya zimbabwe mnayoifananisha ni ipi, ya sasa au kipindi iliposhuka?......kwa sasa dola moja ya zimbabwe ni zaidi ya sh 4 ya Tanzania....wenzetu wameshatupiga chini japo tulikuwa tunawakejeli.
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,311
  Likes Received: 5,028
  Trophy Points: 280
  Mkuu PingPong,
  Zimbabwe sasa hivi hawana pesa yao kama nchi, wanatumia US$ na Rand ya RSA tu, na ni official maana hata serikali wanalipa mishahar yao kwa Dollar ama Rand
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Dah kweli ili upate mayai matatu inabidi kuwa na gunia la mahela
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Dah haina thamani kabisa
   
 13. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  eeh mayai matatu bilioni mia 1 tray itakuwaje!!!:eek:
   
 14. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  poor tz.
   
 15. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Simply ten billion dollars, :peep: :wink2:
   
 16. N

  Ndole JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwache apige hesabu mwenyewe atapata jibu. Tray moja lina mayai mangapi? then kokotoa ...
   
 17. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,109
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ntamaholo, Hayo ni maswli muhimu Kujiuliza

  Viongozi huwaingiza watu/wananchi wasio na hatia ktk mikataba ya kuzimu bila kujijua just kwa matumizi kama haya

  Tuangalie Hait ni matokeao ya ushirikina wa viongozi
   
 18. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,176
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  be serious guys, hizo sarafu ziko kwenye application?mbn mi sijaziona or even kusikia kuna sarafu mpya? nachojua ni kwamba for now tanzania ni nchi pekee duniani inayotumia noti za aina mbili na hakuna anayeuliza..
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ile ile tana wakati ndo inakuwa imechimbiwa kabuir la kuishilia kwa thamani yake
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,617
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Kwani ni vigezo gani vinavyoonyesha kuwa thamani ya pesa imeshuka au imepanda?
   
Loading...