Hivi Noah yangu lini?

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,953
Najua kuwa wote tuko salama na kwa wale ambao wana matatizo ya kiafya MUNGU awajalie afya njema.

Binafsi nimekuwa nikisubili Noah niliyoahidiwa na mjomba wangu yule wa chato ila ni mwaka wa pili sasa sijaipata na wala sioni dalili ya kuipata,
Kama Noah umeshindwa kunipa nipe hata tolori nikabebee mizigo kkoo.

(Maendeleo hayana chama)




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom